Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Prof alikuwa gado na vijana Colney kama kawa, anafanya hii kazi pale kwa mwaka wa 19 sasa ..... ..... and it goes prof knows alikwenda the whole season bila kupoteza mchezo hata moja haijawahi kutokea. Lakini kuna vijitu vinataka kumpangia timu Phew! kesho kama ada pale White Hart Lane patawaka moto kwenye mtanange wa kukata na shoka ..... .....
COYG all the best to Gunners kama ada.
COYG all the best to Gunners kama ada.