Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Huyu babu anatuulia Gunner yetu.Ameishiwa bora tumpe Klopp timu atuletee mafanikio kama anavyofanya Dortmund hivi sasa.Mambo gani haya ya kuifunga timu mbovu kama Villa kwa goli 5 tu? Ilitakiwa ziwe kama 10 bila. Wenger out, Wenger out Wenger out.
Hahahahahaha....
Soccer ni Mchezo unao frustrate sana hasa mkiwa na Series ya matokeo mabaya
Tunacheza
AWAY -Vs Tottenham;
HOME Vs Leicester
AWAY - Crystal Palace
HOME - Vs Everton
AWAY - Vs QPR
HOME - Vs West Ham
inawezekana kama tukicheza kwa kiwango hiki hiki