Pole nifah mie nilikuwa naangalia mchezo wote na kushuhudia magoli yote matano, leo ilikuwa kwa raha zetu ngoja niweke pictures.
Asante.Mimi pia nafurahia mvua hiyo ya magoli na pointi tatu muhimu tunazo.
....Haya tuwekee hizo picha tuburudike siye.
Katika mechi nane zilizopita ambapo tulistahili kupata 24 points tumepata 19 points si rekodi mbaya hata kidogo na mwezi huu na March kama tukiwa makini tunaweza kushinda mechi zote na kuwapa pressure kubwa walio juu yetu.