Wakuu mpira umekwisha baadaye kidogo ... .... ... Gunners washindi 2 - 0 safi sana
Ama katika siku mliocheza heko ni leo!te teh teh na wengine watakaokuja muwachabange hivyo hivyo isipokuwa sisi.
Well well well, how about that?!
Sio vyema kutokumpa sifa AW na timu yake, ila tusahau NEW SIGNINGS...
Sikutegemea kabisa kabisa, wali defend, wali attack, walikuwa na shape, Francis Coquelin na Nacho Monreal....bila kusahau MAN OF THE MATCH ---SANTI CAZORLA, HAPPY DAYS GOONERS..
next week waje hivi hivi wapate mkono kama wa swanse.
sDoh!
Ebu angalia hizi links:
Ranking the Best Youth Academies in World Football | Bleacher Report
The Top 10 Youth Academies in World Football | Bleacher Report
http://app.caughtoffside.com/?referrer=#article/caughtoffside-186942
Top 10: World's best youth academies | GiveMeSport
The Top Youth Academies in the World | The Coach Diary Football Blog
https://uk.eurosport.yahoo.com/blogs/pitchside-europe/best-academy-europe-094426548.html
Katika hizo links zote, sijaona mahala ambapo youth system ya goons imeishinda ya United..
Ebu thibitisha nawe..
Next FA cup away to Brighton J2
Massive Win today, ingawaje sikuangalia mechi, top 2 inawezekana