Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu mpira umekwisha baadaye kidogo ... .... ... Gunners washindi 2 - 0 safi sana
 
​Hongera zako nyingi kwa utabiri wako wa kweli, umeleta kismat chako leo na kuhakikisha ushindi mnono lol!! Hakikisha una clear ratiba yako kila tuchezapo ili usiikose mechi na hivyo kutuhakikishia points 3 muhimu.

Nina nyota ya ushindi hivyo sasa hivi sie tutakuwa tunashinda.Pia usiache kunikumbusha siku tukiwa tunashuka dimbani
 
naona wenye nyumba ndio wanaludi kutoka kwenye vibada umiza baada ya ushindi.
 
Arsenal hongereni kwa ushindi..mmeshinda kwa sababu mashabiki wa Chelsea kwa pamoja na man utd tulikuwa nyuma yenu tunawapa joto mujarabu:A S-fire1:
 
Well well well, how about that?!
Sio vyema kutokumpa sifa AW na timu yake, ila tusahau NEW SIGNINGS...
Sikutegemea kabisa kabisa, wali defend, wali attack, walikuwa na shape, Francis Coquelin na Nacho Monreal....bila kusahau MAN OF THE MATCH ---SANTI CAZORLA, HAPPY DAYS GOONERS..
 
Kwa akili za huyu mr been hapa ndo atajisahaulisha mpaka dirisha lifungwe atajiona ana bonge la kikosi
 
Back
Top Bottom