Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Anelka, Fabregas, Chambers, Wilshere, Flamini,Ashley Cole, Gibbs, Senderos unataka wengine?

Kumbe na Ashley naye aliletwa goons?!? Ashley alitoka kwenye youth system ya goons. Hivyo ahesabiki.

Cesc na Anelka tu wanahesabika.

Flamini yeye kaja goons na miaka 20 tayari, alipikwa Marseille.

Wilshere, Gibbs, Senderos na Chambers, naona unaleta utani. Hawa hata kuwajadili sistahili. Ukimtoa Chambers, hao wengine ni zao la failing youth system ya goons.

Kwa kumalizia: kiuhisia, ni Ashley Cole na Cesc (huyu kwa upande mwingine alipikwa pia La Masis) tu Arsene wanastahili kupokea sifa za kuwapika.

Anelka hajapita katika youth system ya goons.
 
Wengine waliosahaulika na mtakubaliana nao ni Ramsey, Walcott, OX,Song

Hawa nao hawajapita katika youth system ya goons.

Ramsey katokea Cardiff, Oxlade na Theo wametokea The Saints, Song katokea Bastia.

Ila chifu, pengine tunatofautiana maana ya kutamba. Naona wewe unaleta wachezaji (ukiwatoa Cesc na Anelka) wanaotamba kwenye uwanja wa mazoezi wa goons. Mimi naongelea wachezaji wanaotamba dimbani aisee.

Hadi sasa ni Ashley pekee ndiye zao la youth system ya goons lililotamba.
 
Timu zote zinasajili chipukizi wenye promising labda kwa vile wa Arsenal wanakuwa very highlighted ndo maana mnasema hivi. Kumbukeni chipukizi (hasa teenagers) sio lazima watakuja kuwa wazuri, wengi wao huwa wanachuja wanapofikia miaka 20-21. Angalieni katika timu zote kubwa muone hali halisi ilivyo.

Nakubaliana nawe..ila tatizo kuna youth systems zingine hazina mazao/matunda mazuri. Yaani zenyewe siku zote ni kuonyesha wachezaji ni promising, kisha wanaishia kuwa maghalasa au overrated kama mvuta fegi maarufu wa goons 🙈
 
Kumbe na Ashley naye aliletwa goons?!? Ashley alitoka kwenye youth system ya goons. Hivyo ahesabiki.

Cesc na Anelka tu wanahesabika.

Flamini yeye kaja goons na miaka 20 tayari, alipikwa Marseille.

Wilshere, Gibbs, Senderos na Chambers, naona unaleta utani. Hawa hata kuwajadili sistahili. Ukimtoa Chambers, hao wengine ni zao la failing youth system ya goons.

Kwa kumalizia: kiuhisia, ni Ashley Cole na Cesc (huyu kwa upande mwingine alipikwa pia La Masis) tu Arsene wanastahili kupokea sifa za kuwapika.

Anelka hajapita katika youth system ya goons.

Mkuu unajichanganya sana. Unakubali kimoja na kukataa kingine wakati vyote vipo katika kundi moja. Unawakubali Cole na Fabregas kwa kupikwa na Wenger wakati huo huo unamkataa Gibbs(unayedai ni failing system ya Arsenal) kitu unachosahau ni kuwa Gibbs ni first choice RB wa Arsenal(Warrant anapokuwa fit) ukiangali wote hao (Fabregas, Cole, Gibbs) wamepitia system ya Gunner kwa upande mmoja na mwingine. Kumbuka vigezo vya home grown players vinavyosema. Vile vile kumbuka swali lako la awali uliuliza nanukuu "Ebu nitajieni wachezaji watano ambao Arsene a liwaleta goons wakiwa chini ya miaka 20 na wakatamba!" hapa ina maanisha wachezaji wowote walionunuliwa na Arsenal under Wenger chini ya miaka 20, kwa maana hiyo Anelka anahesabika kwa sababu alikuja Arsenal akiwa na miaka 19 halikadhalika kina Clichy, Song, Walcott, Ox, Ramsey ambao umesahau kuwaongelea. Samahani Flamini ni kweli alikuwa 20yrs alipokuja toka Marseille (nilichanganya kati ya Clichy na Flamini). Wilshire kwa kiasi fulani naweza kukubaliana na wewe kuwa hajawika kama ilivyotarajiwa(injuries zinamrudisha nyuma kama vile ilivyotokea kwa kina Diaby na Hagreaves wenu) anyway ni maisha ya mpira yalivyo sio kila mtu atawika.

  • Thanks
Reactions: Nzi
Nakubaliana nawe..ila tatizo kuna youth systems zingine hazina mazao/matunda mazuri. Yaani zenyewe siku zote ni kuonyesha wachezaji ni promising, kisha wanaishia kuwa maghalasa au overrated kama mvuta fegi maarufu wa goons 

Ndio maisha ya mpira yalivyo. Lakini utakubaliana na mimi kuwa youth system ya Arsenal imezalisha wachezaji wengi kuliko ya Manchester United ukiondoa the class of 92 (hapa naongelea after 2003 upwards). Vile vile youth system/ Academy ya Gunners ipo recommended sana kuliko youth system/academy ya Manchester United, Liverpool, Chelsea, City. Wachezaji wa zamani wanawapeleka future to be failure or stars aka watoto wao Arsenal kuliko hizo timu nyingine. Nadhani kwa sasa youth system ya Arsenal ipo nyuma ya Southampton labda kidogo West Ham United.
 
Doh!

Ebu angalia hizi links:

http://m.bleacherreport.com/article...est-youth-academies-in-world-football/page/11

http://m.bleacherreport.com/articles/1507815-the-top-10-youth-academies-in-world-football/page/2

http://app.caughtoffside.com/?referrer=#article/caughtoffside-186942

http://www.givemesport.com/341093-top-10-worlds-best-youth-academies

http://www.thecoachdiary.com/the-top-youth-academies-in-the-world/

https://uk.eurosport.yahoo.com/blogs/pitchside-europe/best-academy-europe-094426548.html

Katika hizo links zote, sijaona mahala ambapo youth system ya goons imeishinda ya United..

Ebu thibitisha nawe..
 
Mkuu unajichanganya sana. Unakubali kimoja na kukataa kingine wakati vyote vipo katika kundi moja. Unawakubali Cole na Fabregas kwa kupikwa na Wenger wakati huo huo unamkataa Gibbs(unayedai ni failing system ya Arsenal) kitu unachosahau ni kuwa Gibbs ni first choice RB wa Arsenal(Warrant anapokuwa fit) ukiangali wote hao (Fabregas, Cole, Gibbs) wamepitia system ya Gunner kwa upande mmoja na mwingine. Kumbuka vigezo vya home grown players vinavyosema. Vile vile kumbuka swali lako la awali uliuliza nanukuu "Ebu nitajieni wachezaji watano ambao Arsene a liwaleta goons wakiwa chini ya miaka 20 na wakatamba!" hapa ina maanisha wachezaji wowote walionunuliwa na Arsenal under Wenger chini ya miaka 20, kwa maana hiyo Anelka anahesabika kwa sababu alikuja Arsenal akiwa na miaka 19 halikadhalika kina Clichy, Song, Walcott, Ox, Ramsey ambao umesahau kuwaongelea. Samahani Flamini ni kweli alikuwa 20yrs alipokuja toka Marseille (nilichanganya kati ya Clichy na Flamini). Wilshire kwa kiasi fulani naweza kukubaliana na wewe kuwa hajawika kama ilivyotarajiwa(injuries zinamrudisha nyuma kama vile ilivyotokea kwa kina Diaby na Hagreaves wenu) anyway ni maisha ya mpira yalivyo sio kila mtu atawika.

Ukiwatoa Cesc, Cole, Anelka na Song kidogo, hao wengine wote wanatamba kwenye viwanja vya mazoezi vya goons.

Siwezi kuwajadili kama wachezaji walioiva kwa kupikika vyema...

Tuendelee na mjadala wa youth system..
 
Ndio maisha ya mpira yalivyo. Lakini utakubaliana na mimi kuwa youth system ya Arsenal imezalisha wachezaji wengi kuliko ya Manchester United ukiondoa the class of 92 (hapa naongelea after 2003 upwards). Vile vile youth system/ Academy ya Gunners ipo recommended sana kuliko youth system/academy ya Manchester United, Liverpool, Chelsea, City. Wachezaji wa zamani wanawapeleka future to be failure or stars aka watoto wao Arsenal kuliko hizo timu nyingine. Nadhani kwa sasa youth system ya Arsenal ipo nyuma ya Southampton labda kidogo West Ham United.

Ndugu ayo maneno yako juu ya youth academy umeyatoa kichwani au umeongea kwa mtazamo wako tu kwa kuangalia mpira tu? Maana records zipo na zipo wazi au labda haukuzipitia...zipitie kwanza
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ndugu ayo maneno yako juu ya youth academy umeyatoa kichwani au umeongea kwa mtazamo wako tu kwa kuangalia mpira tu? Maana records zipo na zipo wazi au labda haukuzipitia...zipitie kwanza

nitajie wachezaji watano ambao man u imeproduce under 20 na wakatamba...sio tunabishana tu
 
nitajie wachezaji watano ambao man u imeproduce under 20 na wakatamba...sio tunabishana tu

Kama unaamini hivyo na dunia inaamini hivyo alivyosema jamaa hapo juu sasa inakuaje youth academy ya arsenal inaoneka si bora kama youth academy ya MU?? Au wanaotoa list za ubora wa youth academy wanapendelea? Umewekewa links hapo juu pitia hizo links then sema imekuaje imekua hivyo kama unaamini youth academy ya arsenal inaproduce wachezaji wengi tena bora
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
nitajie wachezaji watano ambao man u imeproduce under 20 na wakatamba...sio tunabishana tu

Umeelewa lakini mjadala unahusu nini?

Kwanza: ni wachezaji walioenda kwenye timu wakiwa under 20 na wakatamba.

Pili: ni ubora wa youth systems katika kupika wachezaji wanaotamba/waliotamba.

Sasa, uliza tena swali.
 
hamnielewi sijui
...nitajieni hao wachezaji ambao man u imeproduce km ambavyo arsenal imewatoa gibbs kina wilshere
 
hamnielewi sijui
...nitajieni hao wachezaji ambao man u imeproduce km ambavyo arsenal imewatoa gibbs kina wilshere

Why Barcelona and Man Utd have Europe's best academies
Lionel Messi
Arsenal lag behind Euro rivals after producing half as many top-flight footballers as Barcelona
LAST UPDATED AT 13:50 ON Wed 29 Oct 2014

Arsenal may have a reputation for developing young players, but when it comes to producing homegrown talent, the Gunners are lagging a long way behind rivals like Barcelona and Manchester United.

A new report shows that there are currently a remarkable 43 footballers trained at Barcelona's famous La Masia academy plying their trade in Europe's biggest leagues. Of that crop, 13 are on Barcelona's books and another 30 are playing for top-flight clubs in France, Spain, Germany, England and Italy.

The list, compiled by CIES Football Observatory, places Manchester United second on the list, credited with producing 36 of Europe's elite. There are 12 homegrown players at Old Trafford and a further 24 dotted around the continent's big leagues.

Real Madrid are third, having produced 34 players, eight of whom are still at the Bernabeu. By contrast Arsenal are equal ninth on the list with 22 players, almost half as many as Barcelona, with only seven still at the Emirates. Above them are Olympique Lyonnais, Paris Saint-Germain and Rennes from France, and Spanish clubs Athletic Bilbao and Real Sociedad.

"To be able to rely on homegrown talent in this way has provided a key competitive advantage for Barcelona over the last decade," says CIES, which cites Munir El Haddadi and Sandro Ramírez as the latest players to break through into a team containing La Masia graduates like Lionel Messi and Andres Iniesta.

But the number of players in Europe's main leagues who were trained by top clubs but now play elsewhere "highlights the quality of training provided by these top teams, but also demonstrates the difficulty for youth academy players to breakthrough into the first team squad of the most competitive club".

Among the Manchester United exiles are players including Danny Welbeck of Arsenal, Stoke's Ryan Shawcross, Paul Pogba at Juventus and Sunderland captain John O'Shea.

Graduates from Barcelona and Real Madrid to have plied their trade in the Premier League include Mikel Arteta, Pepe Reina and Bojan Krkic (Barcelona) and Juan Mata and Roberto Soldado (Real Madrid).

The Daily Mail notes that some players, whose development was split between two clubs, appear twice. They include Cristiano Ronaldo, who counts for Sporting Lisbon and Man United, and Wayne Rooney, who was schooled at both Everton and United. ·
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Manchester United: Best youth academy in England?
Next Story →
.

by Patrick Surlis

Published 2 years ago
Comments 0
Flag article

Manchester United produce more first-team players for clubs in Europe's top 5 leagues than any other team in England, according to research by Sporting Intelligence.

Sir Alex Ferguson's side are ranked fifth in the world behind the likes of Real Madrid and Barcelona, and French clubs Lyon and Rennes.

Twenty players who have graduated from the Old Trafford academy have gone on to play in the Premier League, La Liga, Bundesliga, Ligue 1 or Serie 'A', one less than French side Rennes who sit fourth with 21 'primary' academy products.

The research deemed a primary youth academy prospect to "belong" to a certain club if they had spent three or more years at the facility between the ages of 15 and 21.

For Manchester United, that meant the likes of Ryan Giggs, Paul Scholes, Darren Fletcher, Jonny Evans, Tom Cleverley and Danny Welbeck all count as home-grown players, and the majority are now first-team regulars.

Other players to have come through the ranks at Old Trafford, only then to have moved on, include Stoke City defender Ryan Shawcross, Sunderland's Phil Bardsley and Everton's Phil Neville, while Paul Pogba left this summer for Juventus.

Elsewhere in the Premier League, Aston Villa came second behind United with 15 primary players, Arsenal third with 14, Tottenham and West Ham joint fourth with 13 home-grown players apiece.

Outside the Premier League, Barcelona are the undisputed kings - with a massive 38 players produced by the prolific La Masia academy. 36 of those were 'primarily' produced by the academy - that is they spent at least three years at the club before the age of 21 and Barcelona was their first club.

And it's not just the sheer scale of production that impresses, it's the unbelievably high talent level too.

Lionel Messi, Andres Iniesta, Xavi Hernandez, Sergio Busquets, Pedro, Victor Valdes, Carles Puyol, Cesc Fabregas, and Gerard Pique are all home-grown players. World Cup winners and European champions abound.

The likes of Fabregas and Pique may have taken detours via north London and Manchester respectively, but they are deemed to be academy products in the 'secondary' sense - having spent time at two academies.

Ligue 1 club Olympique Lyonnais lie second behind Barcelona with 29 primary products, and two more secondary, while Real Madrid have 27 primary and two secondary.

Another French club, Stade Rennais, pip Manchester United with 21 primary products and three secondary. United have 20 primary, and four secondary.

The most high-profile graduate from the Stade Rennais academy in recent times is undoubtedly France international midfielder Yann M'Vila - a player who has been courted by a number of Premier League clubs.

Here's the top five from the Premier League

Manchester United - 24 total academy players

Arsenal - 20 academy players

Aston Villa - 15 academy players

West Ham - 13 academy players

Tottenham - 13 academy players

And here's the top 10 from Europe

Barcelona | La Liga - 38 academy products

Olympique Lyonnais | Ligue 1 - 31

Real Madrid | La Liga - 29

Stade Rennais | Ligue 1 - 24

Manchester United | Premier League - 24

Bayern Munich | Bundesliga - 23

Sochaux | Ligue 1 - 22

Real Sociedad | La Liga - 21

Atalanta | Serie 'A' - 21

Atletico Madrid | La Liga - 21

And here's a complete list...

Topics:
Football
Premier League
Manchester United

Next Story →

Read more

Trending
Videos
Latest

Edition: UK

UK
US

Football
Transfers
Cricket
Golf

More Sports

Rugby Union
Formula 1
NBA
NFL
MLB
NHL
Athletics
Rugby League
Cycling
Boxing
UFC
MLS
Snooker
WWE
NASCAR
NCAA F
NCAA B
FIWC
MotoGP

About Us
Privacy statement
Legal disclaimer
Accessibility
Cookies Policy
Terms of Use
Advertising Info
Contact Us

Scroll for more articles below.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
km sikosei ryan giggs alianzia man city kabla ya kuamia utd akiwa na miaka 17

Sio mimi niliyeandika mkuu nimeona nikuwekee tu labda ujaribu kuwaambia ao jamaa ktk kufanya rank zao za academies uwa wanakosea na kupendelea
 
nitajie wachezaji watano ambao man u imeproduce under 20 na wakatamba...sio tunabishana tu

Kwa hapo England kuna wachezaji wengi walipitia academy ya Man United wanachezea timu nyingine
Wes Brown,John Oshea,Dany Simpson,Ryan Shawcross,Dan Wellbeck,Ezekiel Fryers,Ravel Morrison ,Frazier Campbell,Kieran Richardson,Phil Bardsley,Daron Gibson
 
ktk hawa...hkn world class player...na kina richardson,bardsley,fryers,simpson,gibson ni flops kbs angalau welbz,oshea na brown
 
suala si tu kuproduce wachezaj bali kuproduce quality players...si tu kutoa idadi kubwa ni bora kutoa wachezaj watano quality kuliko 34 flops
 
Back
Top Bottom