Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahsante sana Mkuu, leo najua fika kwamba wapenzi na mashabiki wa Chelsea na MANU wote watakuwa wanatushangilia kwa nguvu zote ili tupate ushindi dhidi ya Man City. CC: everlenk, Honey Faith, utafiti na wapenzi wote wa soka hapa jamvini. Wellbeck, Sachez, Walcott kama wote wataanza pamoja basi tutaiweka ngome yao kwenye pressure kubwa sana na lazima tuzione nyavu zao at least once before half time.

Welbeck bado majeruhi, Walcott hana match fitness ya 100%. If we can stick with Coq kama def. mido afu Rosicky aendelee na role yake ya box-to-box, Cazorla namba 10...huku Alexis akipiga winga. Oézil, Walcott na Ramsey waingie kama subs..nadhani tutaondoka na ushindi..! Ni maoni tu..!
 
Last edited by a moderator:
Arsenal team to play @MCFC: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Alexis, Giroud.

subs: Szczesny, Gibbs, Chambers, Flamini, Rosicky, Ozil, Walcott #MCFCvAFC
 
TEAM NEWS @MCFC: Hart, Zabaleta, Kompany (C), Demichelis, Clichy, Fernandinho, Fernando, Navas, Silva, Milner, Aguero #cityvarsenal #mcfc

SUBS NEWS @MCFC: Caballero, Mangala, Sagna, Kolarov, Lampard, Jovetic, Dzeko #cityvarsenal #mcfc
 
Arsenal team to play @MCFC: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Alexis, Giroud.

subs: Szczesny, Gibbs, Chambers, Flamini, Rosicky, Ozil, Walcott #MCFCvAFC

Yeah..exactly my choice except that Rosicky is benched. Tutawala tu leo..
 
Arsenal team to play @MCFC: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Alexis, Giroud.

subs: Szczesny, Gibbs, Chambers, Flamini, Rosicky, Ozil, Walcott #MCFCvAFC

Honestly nina mashaka na lineup ya Arsenal.
 
Mkuu Wacha1 4,677 to go in order to reach that magic number, I hope we'll be able to achieve this within three weeks or a month.

Vipi mkuu lete maneno nawaona vijana hapa wanapasha joto. Rambo ndani ya dimba bring them on. COYG
 
Henry keshachukua nafasi kwenye meza ya pundits rasmi ..... . ......... ..
 
Mie nataka tucheze soka la uhakika likiambatana na ushindi ambao utaongeza confidence kubwa kwa wacheza katika ngwe hii ya pili na hivyo kutoa onyo kwa timu nyingine za EPL kwamba ngwe ya pili hatuko tayari kuwa pushovers kama tulivyokuwa katika ngwe ya kwanza.

Vipi mkuu lete maneno nawaona vijana hapa wanapasha joto. Rambo ndani ya dimba bring them on. COYG
 
Mancs wameanza kwa kasi hapa wanataka kuwa-surprise Gunners .... ... .... ..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom