Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

"The Siants" ving'ang'anizi aise, jamaa watishia usalama wetu...
 
Nyiye siyo washindani wenzetu..nyiye mnashindana na Spurs, The Saints na The Hammers kwa ubingwa wenu wa nafasi ya nne.

Siye tunashindania ubingwa halisi ati..

Naona mnavyoshindania ubingwa. Jana LVG alisema mna majeruhi mmoja tu. Leo mmetundikwa home sijui mtasingizia nini kesho?
 
Ndugu wamasikini mara nyingi nishiida.

Yaweza kuwa nafasi nzuri kwa Wenger kulazimika kuingia sokoni. Tunahitaji cover up ya beki wa kati co z Debouchy amesaidia pia pale kati wakati Konsienly majeruhi. Sasa kati ya Per na Laurent atakaeumia itakuwa ishu pale nyuma...!!
 
Naona mnavyoshindania ubingwa. Jana LVG alisema mna majeruhi mmoja tu. Leo mmetundikwa home sijui mtasingizia nini kesho?

United hatuna tabia za visingizio arifu...nipe quote ya post yangu humu niliyosingizia majeruhi baada ya kupata matokeo mabaya!
 
249B5D0700000578-2905389-image-a-6_1421024406755.jpg

There is only one Alexis
 
Kwa raha zetu wangu, yule Sanchez ananipa raha sana aisee. Tungekuwa na wacheza wanne mstari wa mashambulizi wanaojituma na wenye moyo kama yeye mbona tungetisha.

Hongereni sana watani naona mfupa uliotusumbua umeutafuna kiulaini.

Cc BAK utafiti adolay
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Naona bwana mdogo Sanogo kakamilisha usajili wa mkopo pale crystal palace mpaka sasa hakuna ingizo jipya pale emarate.
mkuu Richard vipi tetesi zinasemaje kama zipo zitupie hapa jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Naomi bwana mdogo Sanogo kakamilisha usajili wa mkopo pale crystal palace mpaka sasa hakuna ingizo jipya pale emarate.
mkuu Richard vipi tetesi zinasemaje kama zipo zitupie hapa jamvini.

Mkuu,mambo vipi?

Kama nilivyokwishasema hapo kabla kwaba huyu Yaya Sanogo na Lucas Podolki walikuwa waondolewe kwenda kwenye mkopo.

Podolski huenda asirudi kuchezea Arsenal tena kutokana na kauli anazozitoa wakti huu akiwa kule Italy kwamba meneja Wenger alipenda kumuacha bench.

Yaya Sanogo amekwenda Crystal Palace kwa mkopo na hio ni ishara kwamba atarudi Arsenal akiwa na uzoefu wa PL na umakini katika umaliziaji.

Sasa suala la usajili ni kwamba mpaka sasa kuna mchezaji mmoja ambae huenda akatangazwa siku chache zijazo nae ni bwana mdogo kutoka timu ya Legia Warsaw aitwae Krystian Bielik ambae ni mchezaji wa kiungo na ana miaka 17.

Huyu dogo ana kipaji twaweza kumuita "Progidy" na anachezea Legia kwenye irst 11 yao. Alisajiliwa na Legia kutoka timu ingine ya Lech Poznan kwa kiasi cha paundi 9,500 akini Legia Warsaw wamewaambia Arsenal wakohoe kiasi cha paundi milioni 2.4 au Euro milioni 3 hivi.

Maskauti wa Arenal na wenzao wa Barani ulaya waitwao Scouting Polska na wengine wa FourFourTwo wanamwona kijana huyu akiwa na uchezaji mzuri huko siku za mbele hasa pale Mikael Arteta na Mathieu Flamini watakapomwaga manyanga baadae mwaka huu.

Kijana huyu ana uefu wa futi 6 na nchi 2 na ana umbo kubwa la kufanya aweze kucheza kama DM au CM au CD n alikuwepo London Colney (kambi ya Arsenal) mwezi wote wa December mwaka jana.

Pia kuna kijana mwingine aitwe Ilkay Gundogan wa Borrusia Dortmund ya Germany ambae amekataa kusaini mkataba na timu yake hiyo.

Inasemwa kwamba Dortmund wapo tayari kufanya dili la paundi 15 milioni.

Kwa kawaida usajili kwenye mwezi wa January huwa unakuwa mgumu kwasababu kila timu inakuwa na wasiwasi wa kupoteza mchezaji muhimu hivyo kuweka dau kubwa kama ambavyo tunaona Man City wanavyofanya kwa Wilfried Bony.

Si kwamba Arsenal wanashindwa kutumia milioni 30 kufanya usajili lakini ni pale penye ulazima tu na ndio maana kunakuwa na kusita kidogo.

Hivyo tusubiri ntashuka tena baadae kidogo.
 
Pamoja sana mkuu.
#COYG .
 
Bad News
Mathieu Debuchy atakua nje kwa miezi 3 baada ya kufanyiwa operesheni ya bega,Wenger amethibitisha pengo hili ikumbukwe Mathieu amecheza mechi 7 baada ya kurudi toka kwenye majeruhi ya muda mrefu na ameumia tena.
Get well soon Debuchy.
 
Back
Top Bottom