Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ushindi mnono leo...3-0 not bad, na mpira haujaisha bado...goooo go Arsenal
 
Ushindi mnono leo...3-0 not bad, na mpira haujaisha bado...go go Arsenal
 
The beautiful futbo ambayo hatujaiona mda mrefu toka kwa Gunners katika EPL
 
Wakuu mpo?

Surely matokeo ya leo yatawaogopesha Man City!

COYG next at Etihad
 
Wakuu mimi nipo na wadau wengine tunaangalia ni DM gani anatufaa tumsajili mwezi huu.
 
Hii combination ya ozil, walcot, Sanchez, cazorla na wakirud jack na ramsey. Asee atakuwa hatoki mtu.
 
everlenk kumbe tukishinda hutembelei huku? leo kama kawa usiniulize yakesho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom