Mechi nzuri. Bahati mbaya Debouchy kaumia tena..hope haitakuwa 3 months.
Me namuombe ashinde ili afurahi kama sisi ila wakigawana point moja moja sio mbaya
Asanteni sana,naamini tutashinda,ila siyo siri kamoyo kanadunda sana.......
Asanteni sana,naamini tutashinda,ila siyo siri kamoyo kanadunda sana.......
Asanteni sana,naamini tutashinda,ila siyo siri kamoyo kanadunda sana.......
Hahahaha wagumu walee hatari
uwe na ujasiri, utashinda lakin kwa mbinde.
Tulia ucwaze uko Trafford leo.
Nasikitika leo nilikua busy sana hadi nikashindwa kufuatilia game....
Nimefurahi kwa hizo 3 points
Alex katupia mbili
Aisee,naona vijana wamerudi kwa kasi sana.
Bora sasa tutakua na matumaini maana jahazi lilikua linakaribia kuzama.