Arsenal (The Gunners) | Special Thread

....... Mbu is whistling tu sasa,.....:music::music::music:
 
Last edited by a moderator:
Lazima wapenzi wa Arsenal sasa wakubali kuwa hawana Coach, hata mafanikio wanayoringia nayo kama yale ya kumaliza msimu bila kufungwa, timu ile babu wenger hakuitengeneza yeye aliikuta, hususani ule ukuta ukiongozwa na Captain Tonny Adam ! Alichofanya yeye ni kuboresha kidogo kwa kumsajili Henry na Viera, coz up to now ameshindwa kutengeneza timu yake mwenyewe kwa zaidi ya miaka 15 ( linganisha na ferguson )
 
Mkuu sisi tunatetea FA cup mwaka huu nyinyi mna kombe gani mnalotetea? kombe kongwe kuliko kombe lolote lile kwenye soka hapa duniani.

Hili kombe unalolipigia kelele kila siku kuwa n mtetez kumbuka hata Portsmouth alikuwa mtetez aids ni timu kubwa tu lin mtakuwa watetez UCL?
 
Reactions: Nzi

Wasimtimue bwana point sita tutakuwa tunazipata wapi babu usiwasikilize hawa we kuwepo tu
 

Kina Ramsey,Diaby,Wilshere,Arteta kuumia ni kitu cha kawaida kila msimu tayari Ozil,Ospina na Wellbeck wameanza kujiunga kwenye hiyo clinic.Podolski anaondoka Wenger hana shida nae,mnapaswa kutafuta CB mwingine Metersecker ni senior defender but anashindwa kuongoza defence
 

Utatafuta sana visingizio mwaka huu ulisema wakirudi Dibuch na Koscky timu itaanza kushinda wamerudi bado hoi leo unasema OG mara Welbeck
 
Reactions: Nzi
Arsenal hatuna wasiwasi. Nafasi ya nne ni yetu...! Sisi hatuna muda na ubingwa. We are doing business makombe baadaye
 

Wacha wivu wewe, basi wewe ndio kocha sasa imekuuma kwamba Prof alienda msimu mzima unbeaten unaona jinsi Moureen alivyoshindwa unaanza visingizio.





FA Cup linawatoa nyoka pangoni wanachema wanalia
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jinsi miaka inavyokwenda ndio jinsi inavyokuwa very difficult to follow the act
Only Gunners wameshinda Golden Premier League hakuna kimburu yeyote aliyewahi kuchukua hilo kombe ... .... ..... Golden serenity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…