Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Next Stop Southampton away Mwaka mpya Ali-hamisi 15:00 hrs GMT #COYG.
 
Kumbe shabiki wa the blues?Mie nataka nishabikie arsenal bwana maana all the time huwa nakuwa interested nayo halafu my good friends BAK na utafiti nataka kuwapa company

By the way I miss you so much my shem.Unapoteaga sana jamani
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha utadhani nyie huwa hamjifariji kwi kwi kwi kwi naona umenuna leo mdudu 🙂🙂 pole zako.

Kwa kujifariji tu hamjambo!!

Kwa hiyo tayari ushahesabu ushindi dhidi ya Soton eh?!?
 
Next Stop Southampton away Mwaka mpya Ali-hamisi 15:00 hrs GMT #COYG.

I can only imagine... #poleni-in-advance

Kumbe shabiki wa the blues?Mie nataka nishabikie arsenal bwana maana all the time huwa nakuwa interested nayo halafu my good friends BAK na utafiti nataka kuwapa company

By the way I miss you so much my shem.Unapoteaga sana jamani

Ahaha heri ubaki uwape pole kuliko na wewe uingie kwenye stress shem mtanipa kazi ya kumbembeleza one more person.

Shem majukumu yamenbana hapa izi sikukuu ndo kidogo napumua. Isitoshe wifi ako alijifungua...ni changamoto nzuri!!!
 
Last edited by a moderator:
Wacha kelele wewe umeanza kuona vikombe uzeeni kabla Abraham-ovichi hajaweka pesa za wizi, wacha ngebe.

Khekhekhekhekheeeeee wacha kunizeesha...hata miaka thelathini sijafikisha....!!!! Haya endelea kuongea.
 
I can only imagine... #poleni-in-advance

Ahaha heri ubaki uwape pole kuliko na wewe uingie kwenye stress shem mtanipa kazi ya kumbembeleza one more person.

Shem majukumu yamenbana hapa izi sikukuu ndo kidogo napumua. Isitoshe wifi ako alijifungua...ni changamoto nzuri!!!

Mkuu Sauthampton tuliwaachia carling cup, then tukawapiga kwenye EPL na sasa tunkwenda kuwabamiza hawatupi shida na chichi hatuna ugomvi nao wachezaji wengi tu tumenunua kutoka kwao , Theo, Ox, Chambers etc una kumbuka mlichema nini kwa West ham ambao walipanga timu dhaifu dhidi yenu? Kos is back, Ozil atakuwa bench .... jongea tu siku ya kitale. COYG
 
Wewe my dada kajifungua?So sasa hivi naitwa mama.Hongereni sana.Sikujua hilo itabidi weekend nifunge safari nije kuwasalimia shem wangu Mentor
 
Last edited by a moderator:
Like for real...! Were u born when Arsenal won their first title? #beReal

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee you will never answer a question, answer first, then we can move on, you do not need to put exact years but plus minus 5 will do, otherwise mjadala umekushinda.
 
Chelsea had their first major success in 1955, winning the league ...

Sasa unless sikuelewa swali lako ndo maana nimeshindwa kulijibu.
 
Chelsea had their first major success in 1955, winning the league ...

Sasa unless sikuelewa swali lako ndo maana nimeshindwa kulijibu.

Si nimekwambia wewe ni kazee ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 1955 khe khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee then what happened, did you ever won anything tangible after that?
 
Si nimekwambia wewe ni kazee ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 1955 khe khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee then what happened, did you ever won anything tangible after that?

Mbona unaenda 19 / 20 th century
 
Mbona unaenda 19 / 20 th century

I know you will never answer, because the truth will hurt you through your bones. Remember when the serial robber dies, your club will die as well. You do not have enough resources to sustain the activities of a club, ie. paying brown envelopes for a win, salaries for your players etc. Thats why before Romano came you were nowhere to be seen. You better be happy at the moment, but as I said before come May Moureen hana kibarua. Kibarua kitakuwa kimeota mbawa ooops nyasi kwa sababu hamtakuwa mmeshinda kitu chochote. Chichi tunatetea FA cup mwaka huu nyie mlitoka kapa, mfuto, nothing to show or defend.
 
Back
Top Bottom