super_gangster
Member
- Dec 2, 2014
- 53
- 7
Wapuuzi kweli nyie! Wenzenu tunawaza ubingwa, nyinyi nafasi ya nne?
Mpuuzi Wewe Na Man u yako
Wapuuzi kweli nyie! Wenzenu tunawaza ubingwa, nyinyi nafasi ya nne?
Bila shaka,jiandae tu usikimbie hapa.
Mkuu mchezo wa leo ushindi ni wetu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee weye unachenaje?
Mna kibarua ngumu leo
Alafu unakuaga na utabiri mbaya sana wewe....
Ila leo utaingia chaka tu.
Mnapigwa 2-0,mkijitahidi 2-1
Vipi kama ikiwa vice versa?
siyo kwa ule mchezo wa juzi na QPR mkiwa nyumbani,leo ,mnanyolewa
siyo kwa ule mchezo wa juzi na QPR mkiwa nyumbani,leo ,mnanyolewa
Huo ni utabiri wako tu,hauna effect yoyote katika game la leo....tusubiri dakika 90.
Huo ni utabiri wako tu,hauna effect yoyote katika game la leo....tusubiri dakika 90.
ushindi lazima upo leo. Siku zinatofautiana.
hamna kitu kama hicho.Tutaona tena mtapigwa si chini ya mawili
Imebaki dk 3 tuangalie wa Chelsea uone vijogoo vya london
Tutaona tena mtapigwa si chini ya mawili