Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu niwazi kuwa leo tumecheza vibaya sana, liverpool kwa kiasi kikubwa wamemiriki sana mpira na pia wamepata attempt za kutosha sisi tulipata chache tukafanikiwa kuongoza but cha kusikitisha ni kuwa jamaa walifanikiwa kusawazisha wakiwa watu kumi uwanjani siyo siri ilikuwa nl perfomance mbovu sana leo,
but all in all congratulation kwa liverpool.
 


Loser Fools waponea tundu la sindano ... ... .




Giroud scores the second goal .... . ..






The man in-form ..... ....... .




Debuchy scores ... ... the first goal ... .






The french defender is just back in the team
he needs more playing time ... .... .


Theo will be back next match to start his recovery game time matches ... .... .
 
Reactions: BAK
Tatizo la mpira wa siku hizi una groupies wengi kuliko fans.
 
Hata tushuke daraja i dont care always a gunner,na wenger au bla yeye bado nitabaki,hata wabadlshe jina
 

Nishaona najibizana na mtu asiye na macho, masikio wala akili ndogo tu yakuchambua mambo sitakujibu tena chochote
 

Hizo ndio STATS za game nzima
 

Attachments

  • 1419224888267.jpg
    38.8 KB · Views: 137
Nishaona najibizana na mtu asiye na macho, masikio wala akili ndogo tu yakuchambua mambo sitakujibu tena chochote

Mbona umeshamjibu!?? Anyways, hata hivo jamaa yupo sahihi n you are wrong. Wengi wetu tupo biased na huegemea upande wa timu tunazoshabikia. Imagine arsenal angeshinda yote haya msingeyaona na angefungwa ndo tungeona zile hashtahs za WengwrOut.
Typical typical us😕😕
 
Hizo ndio STATS za game nzima

halafu kuna mtu anasema refa kawabana kwenye hii mechi!!!!! kwanza Flamini ilitakiwa apewe second yellow refa akaamua wacha mechi iishe 11 vs 11 lakini kwa Borini hakuwa na jinsi kijana alipandwa na jazba sana...
 

asante kwa elimu...pili sio kila anaeangalia mpira anaona through NBC/SKYSPORTS....anyway hata huku tanzania tunaangalia kupitia DSTV ambao wanaweka pundits wa skysports,jana alikuwepo Jerman Jenas kama guest ana akina Andy Townsend kama kawaida....ni hao hao pundits ambao humu humu kuna wenzenu wanapiga kelele hawaipendi arsenal nimependa short and clear analysis ya pierre Fm jana u were dominated and very lucky to get a draw thats a fact na si kwasababu ya refa au nini liverpool were just better kama walivyokuwa better kuzidi man utd lakini tofauti ikawa David De Gea,RVP,Rooney individual ability!! btw sasa naona kwa nini Arsene Wenger amemleta Giroud
 
Last edited by a moderator:
Im an Arsenal fan but jana we were shambolic,completely clueless .A draw was by grace of God.Kila siku tunashindwa but hatujawai kucheza kama jana period!.
 

Kuwa dominated ni kweli. Lakini wanaposema tumepata bahati ya kuondoka na draw naweza kupinga sababu wao ndio waliosawazisha dakika za nyongeza. Hivi wasingesawazisha mngesema tulipata bahati ya kuondoka na point 3 au kwa vile haikutokea? Au unataka kusema Man UTD walikuwa na bahati ya kuondoka na point 3 vs Arsenal sababu Arsenal walidominate mechi? Anyway, jana tulikuwa off our game hasa midfield.
 

mtu ukicheza na mara 15 ukashinda mara moja hawezi kubahatisha...hata akipanga mawe yatakufunga...khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe...ile draw ni matokeo mazuri kwetu man utd kwasababu na sisi tulidraw pia.
 
mtu ukicheza na mara 15 ukashinda mara moja hawezi kubahatisha...hata akipanga mawe yatakufunga...khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe...ile draw ni matokeo mazuri kwetu man utd kwasababu na sisi tulidraw pia.

Hongereni.
 
............hivi Top Four yetu tutaikamata kweli msimu huu?

Chelsea, Man City, Man United hawawezi drop points nyingi compared to us,
wakati huo huo "chasing pack" iliyokuwa na Everton na Spurs pekee msimu ule,
safari hii kuna West Ham na Southampton pia.
:coffee:

Cc; BAK, Richard, Balantanda, Sizinga, Wandugu Masanja, Wacha1, piere.fm, rubaman....et al
 
Mie naamini tutaikamata na pia tunaweza kuwa juu zaidi. Naamini hivi kwa sababu majeruhi wetu wote watakuwa available kuanzia January 2015, hivyo kama tutaweza kuhakikisha tunashinda mechi 15 kati ya 19 za ngwe ya pili ya msimu huu basi tutajiweka katika nafasi nzuri sana ya kuwemo kwenye top 4 or even higher than 4th position.

#InGunnersWeTrust


 
Mkuu hii timu yetu tunaipenda sana basi tu inatuangusha!nimegundua una mapenzi makubwa sana na hii timu!
 
Sikuanza leo au jana Mkuu kuipenda timu yetu, kuna wakati ilikuwa raha sana kuiangalia hii timu yetu, lakini hatuwezi kuitelekeza kwa sababu tu miaka ya hivi karibuni imekuwa inasuasua. Naamini kabisa zile siku za neema haziko mbali sana. Merry Xmas & Happy New Year.

Mkuu hii timu yetu tunaipenda sana basi tu inatuangusha!nimegundua una mapenzi makubwa sana na hii timu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…