Hahaha sijamaliza comment mmeongeza,hongereni.
Hahaha halafu wewe humu JF nimekuona una thread mbili tu za kucomment yaani alikiba na arsenal
Hahahaaa,kwingine naona uvivu mara chache sana.
Na bado mpira unaendelea usishangae tukiongeza la 3
Nawatakia ushindi ila mnavyoshambuliwa,naona mmeweka bus
Kikubwa points 3 basi
Hii mechi mmeshashinda
Tushashinda 2 na nyengine 2 zinakuja soon
Leo mkishinda nitaanza kuwashabikia......
Leo mkishinda nitaanza kuwashabikia......