Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

game ilikuwa tamu sana.....

original

original

original

original

original

original
 
Pole kwa maumivu mkuu,kosa kubwa la wenger alilolifanya ni kumuuza vermalen name kutotafuta mbadala wake experienced sio hv vitoto na sagna as well, pia kipa leo kawaangusha kwa mtazamo wangu.

Kweli mndengereko unachoongea kipa nae hakua sawa pale golini lakini lawama zote wenger anastahili anashindwa kwenda na wakati hizi sio zama za kukuza wachezaji ni kuwapa nafasi ready made player
 
Wivu utawaumiza, Gunners wala hatuna wasi wasi na#mburukenge# wanaoongea kama wako kwenye mgahawa, tumefungwa 3-2 sasa shida iko wapi pilipili iko Emirates EPL ndio kwanza inaiva facts timu yetu ina majeruhi kibao soon watarudi hapo ndipo tutaona zipi ni mbivu stay tuned!

BTW sio lazima mshabikie Gunners kama hampendi kinachoendelea Gunners msepe mwende mnakopendezwa nako we are happy with what is happening so far and the majority share holder is happy. Mengine yote haya ni maloloso tu mtalia hadi chozi la damu, Prof is here to stay until his contract ends period!
 
Pole kwa maumivu mkuu,kosa kubwa la wenger alilolifanya ni kumuuza vermalen name kutotafuta mbadala wake experienced sio hv vitoto na sagna as well, pia kipa leo kawaangusha kwa mtazamo wangu.

.........:coffee:......

Ex-Gunners wawili, Fabregas na Song ndio wanaosaidia current team zero kwa sasa (Chelsea, na West Ham)
ilikuwa kosa kubwa sana Arsene Wenger kuwatilia nyodo wasirudi nyumbani kuimaarisha Squad,.....mbaya zaidi,
team zote hizo zipo juu ya Arsenal kwa sasa....

Mimi naungana na woooote wasemao huyu Mzee wetu kidogo 'kibr' kinaifanya team ichechemee....
Hatukatai team kufungwa ni sehemu ya mchezo, ila team mwisho inaangaliwa kwa mafanikio ya
vikombe, sio Top four finish.
 
Mbu usijali Song na Cesc waliondoka kwa kuwa hawakuona mbali then wanataka kurudi wangetupa shida sana hawa, good riddance, T5 kaumia hatacheza kwa miezi karibia 5 hata angekuwa bado yupo, matatizo ya nyuma yatatatuliwa wakati Kos na Debuchy watakapokuwa wamepona inshallah in two weeks time, EPL bado kila timu inatafuta nafasi hakuna mechi mdebwedo, Ozil yupo Jan as a return date. Tutaona kama hawa wauza kashata wataweza mikiki mikiki. Chelsick were out foxed yesterday. Tutaona J1 new Castle Emirates ... ... .. .Alex hatacheza Uturuki kwa sababu ya mechi hiyo pamoja na kupumnzika .... ... .... .see you at the Emirates. COYG.
 
Bacary Sagna pia kumkatalia ombi lake la mshahara mkubwa ilikuwa kosa kubwa sana. Jamaa ni mchezaji mzuri sana, angalia sasa hivi tunavyotapatapa kwenye defence. Kuna mechi moja kama sikoei mwaka jana kulikuwa na majeruhi watatu au wane kwenye defence, Sagna akacheza kama centre half, alicheza vizuri sana. It is time to get rid of Wenger (before the end of this season)

.........:coffee:......

Ex-Gunners wawili, Fabregas na Song ndio wanaosaidia current team zero kwa sasa (Chelsea, na West Ham)
ilikuwa kosa kubwa sana Arsene Wenger kuwatilia nyodo wasirudi nyumbani kuimaarisha Squad,.....mbaya zaidi,
team zote hizo zipo juu ya Arsenal kwa sasa....

Mimi naungana na woooote wasemao huyu Mzee wetu kidogo 'kibr' kinaifanya team ichechemee....
Hatukatai team kufungwa ni sehemu ya mchezo, ila team mwisho inaangaliwa kwa mafanikio ya
vikombe, sio Top four finish.
 
Mkuu maamuzi ya Manager yanapaswa kuheshiwa! Huwezi jua alipanga hivyo kutokana na mbinu ya kukabiliana na Hiyo timu!

Mimi naamini bado Mko vzr tu ila ni matatizo ya Hapa na pale tu ndo yanaleta shida!

Yangekuwa maamuzi mazuri kama tungepata kitu, hayakuwa mazuri ila ngoja tuyaheshimu!
 
Wakuu wa Gunners kwanza lazima mfahamu sera za club sio kulaumu tu bila kuzifahamu. Wachezaji wengi tu wanataka walipwe pesa nyingi Judas alitaka £12 million kwa mwaka moja ikabidi auzwe kama mmesikia Manure wanataka kumtema kutokana na mkataba wa kumlipa bonus ya £10 million kabla ya muda ... .. .

Gunners sio kisima cha kutumia and bust up hizi ni pesa ambazo watu wamefanyia kazi ndio sababu kiingilio kikubwa kutokana na madeni (Kujenga uwanja etc). Sio kwa sababu club ina pesa basi ianze kulipa mishahara mikubwa tu kwa sababu mchezaji anahitaji mshahara mkubwa No way, hata wewe kama una kampuni yako huwezi kuiongoza namna hiyo. Hivi sasa mishahara ya Gunners ni mikubwa imepitwa kidogo tu na Chelsick ambao pesa wanachota kwenye kisima cha unga.

Kama mafanikio ni kulipa pesa nyingi kwa wachezaji basi wasiotaka wahamia kwenye pesa za unga kule kwenye Cowshed au Etihad au Manure wanaodaiwa hata Jezi. Tumekuwa na majeruhi tu, ndio mchezo huo at the moment mambo ndio hivyo na mwezi May tutaanza kuongelea where we went wrong, huwezi ku-judge kwa hivi sasa kwa sababu hufahamu nini kitatokea huko mbeleni at the moment le prof haendi kokote whether you like it or not. COYG that is prudent Arsene.

JF saa zingine inafurahisha sana, wameshindwa kina Adrian et al ambao wamekuwa kwenye radio for years and the topic ni Wenger every day of the week na media machine ya UK kumng'oa Prof itakuwa hadithi za JF. Yes the team is not doing well at the moment but we aren't dead and buried. Thats why the media talks about Arsenal more than any other club in the UK.
 
Pole kwa maumivu mkuu,kosa kubwa la wenger alilolifanya ni kumuuza vermalen name kutotafuta mbadala wake experienced sio hv vitoto na sagna as well, pia kipa leo kawaangusha kwa mtazamo wangu.

Kikosi chetu ni chembamba sana alafu ukitoa Sanchez, ni cha kawaida kabisa, yaani level ya kina Swansea ndo saizi yetu siku hizi. Yaani inafika wakati Arsenal kushinda mechi 3 mfululizo ni miujiza. Pia sielewi, inakuwaje ni Arsenal tuu ndo inaandamwa na majeruhi mengi, kuna kitu hakiko sawa kwenye benchi la ufundi!
 
Sikutegemea kama uwezo wako wa kufikiria ndo mdogo kiasi hiki.,au umeandikiwa hii comment??

Na wewe uwezo wako ni wa kubadili majina kama kinyonga unaibuka kwa msimu, Wenger ameshinda Gold premiership niambie tangu EPL imeanza nani kashinda hivyo? Wacha ngebe! Nafahamu timu yako ya vichochoroni hata kuisema huwezi unaibuka tu kama uyoga khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Benitez Rafael, huyu jamaa hutoa timu from zero to hero

Ningekuwa ndo executives wa Arsenal ningewachukua Dennis Bergkamp kama manager na Tony Adams au huyo huyo Bould kama msaidizi wake! Babu awe direcotr huko juu. Benitez sio Arsenal materials, sijajua umemaanisha nini kwa Benitez. Kwa sasa kwa Arsenal, it's not gonna get any worse, tushazoea vichapo, labda tutamiss UCL kwa miaka kadhaa, ila tuna rasilimali za kurudi kwenye big time era, endapo babu atakubali.
 
Naamini wenger hawezi kutimuliwa ila ataondoka mwenyewe kwa sababu anaipa klabu mafanikio ya kiuchumi.waswahl wanasema bora lawama kuliko fedheha,kama wenger anawashauri wazuri inabd wamshauri aondoke mwisho wa msimu akatafute maisha mapya na challenge mpya ila i bet wenger akiondoka mtatetereka pia,mpk mpate level mnayoitaka coz atakuja mtu mwenye mbinu mpya,philosophy mpya na kikubwa zaidi atahtaj ayazoee mazngra

Tutatetereka mara ngapi?? Tumeshatetereka toka 2005 mpaka sasa. Ishu, wenger hawezi fukuzwa, ni yeye atumie busara zake mwenyewe kutoka, ila naye HAWEZI ondoka. Ni mbishi, kageuza timu yake sababu ya alivyoinufaisha kiuchumi.
 
Are you sure na Tony Adams?
 
Asante kwa salamu, tuko poa, ndo mpira huo, giza likizidi, ujue asubuhi inakaribia. Mna kibarua St. Mary hapo, jipangeni hapo hamtoki. Rekodi yenu ya ugenini ni balaa!

yeah tena nadhani soton ni wagumu kuliko nyinyi ambao ndio mmetupa point tatu za kwanza ugenini...
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom