kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
Wakuu wa Gunners kwanza lazima mfahamu sera za club sio kulaumu tu bila kuzifahamu. Wachezaji wengi tu wanataka walipwe pesa nyingi Judas alitaka £12 million kwa mwaka moja ikabidi auzwe kama mmesikia Manure wanataka kumtema kutokana na mkataba wa kumlipa bonus ya £10 million kabla ya muda ... .. .
Gunners sio kisima cha kutumia and bust up hizi ni pesa ambazo watu wamefanyia kazi ndio sababu kiingilio kikubwa kutokana na madeni (Kujenga uwanja etc). Sio kwa sababu club ina pesa basi ianze kulipa mishahara mikubwa tu kwa sababu mchezaji anahitaji mshahara mkubwa No way, hata wewe kama una kampuni yako huwezi kuiongoza namna hiyo. Hivi sasa mishahara ya Gunners ni mikubwa imepitwa kidogo tu na Chelsick ambao pesa wanachota kwenye kisima cha unga.
Kama mafanikio ni kulipa pesa nyingi kwa wachezaji basi wasiotaka wahamia kwenye pesa za unga kule kwenye Cowshed au Etihad au Manure wanaodaiwa hata Jezi. Tumekuwa na majeruhi tu, ndio mchezo huo at the moment mambo ndio hivyo na mwezi May tutaanza kuongelea where we went wrong, huwezi ku-judge kwa hivi sasa kwa sababu hufahamu nini kitatokea huko mbeleni at the moment le prof haendi kokote whether you like it or not. COYG that is prudent Arsene.
JF saa zingine inafurahisha sana, wameshindwa kina Adrian et al ambao wamekuwa kwenye radio for years and the topic ni Wenger every day of the week na media machine ya UK kumng'oa Prof itakuwa hadithi za JF. Yes the team is not doing well at the moment but we aren't dead and buried. Thats why the media talks about Arsenal more than any other club in the UK.
" Hivi sasa
mishahara ya Gunners ni mikubwa
imepitwa kidogo tu na Chelsick "
mmetumia more than 100 millions kusajili for the last three season,sijui unazitoa wapi excuses za kwa nini msishinde major trophies,