Duh leo ni kuombea mabaya tu kwa woteee....
Bado Everton kunipa furaha
Yani kocha wa Stock alisema kabisa i will adopt the system used by Man Utd and Chelsea to be Chelsea na kafanikiwa
I appreciate your positivity. You are a true gooner.
Wewe just piss of utafikiri unalipwa na Arsene. Kuwa positive nakutetea ubovu ni mambo mawili tofauti.Kama una Arsenal fans TV tune uone legends wanavyokandia kwa azma ya kurekebisha. Sio makosa yanatendeka tukae kimya kama sheep.
So what? Wenzio tuna kwenda kucheza kwenye CL wewe na kocha wako wa Stokes mko wapi? Sio huyo huyo kocha alikuwa Mancs, QPR etc kisa ni mwingereza pambafu zenu kabisa hana lolote, kakuta tuna majeruhi tu .... ...... .. . watch return game at the Emirates tutamcharaza kama kuku.
What do you mean? Haya hebu twambie kosa la Wenger? Ati kutetea ubovu hebu weka hapa ubovu wa Wenger? Legends ambao wanalipwa na redio mbao kila uchwao wanalilia waje Gunners kuchafua, (nyinyi ndio makuwadi wa kina Adrian et al) wapo ambao wanajulikana walevi wa kutupwa unafikiri watapewa fursa hao, mkuu Gunners inaongozwa sio kwa ubabaishaji, hakuna timu sasa hivi kwenye EPL ambayo isingependa kuwa na ubavu wa Gunners kuanzia facilities na training methods. Haya tupe ubovu wa Le prof.
Prof. Mr bean asiondoke bwana tutapata wapi timu ya kutupa point 6/4 kiulaini hata tukichezesha timu B zaidi ya timu ya Prof????
Kwisha habari yako umefilisika wewe povu jingiii, matusi ya nini sasa??? Kheeeeeeee poleni majeruhi mnao nyio peke yenu tu!!!!!
What do you mean? Haya hebu twambie kosa la Wenger? Ati kutetea ubovu hebu weka hapa ubovu wa Wenger? Legends ambao wanalipwa na redio mbao kila uchwao wanalilia waje Gunners kuchafua, (nyinyi ndio makuwadi wa kina Adrian et al) wapo ambao wanajulikana walevi wa kutupwa unafikiri watapewa fursa hao, mkuu Gunners inaongozwa sio kwa ubabaishaji, hakuna timu sasa hivi kwenye EPL ambayo isingependa kuwa na ubavu wa Gunners kuanzia facilities na training methods. Haya tupe ubovu wa Le prof.
Kutokuwa na plan B. Kila mtu hata asiye na utaalamu wa coaching anajua wazi ukiwa physical dhidi ya Arsenal basi hatuna plan mbadala. Ndio maana tunapata shida tunapocheza na timu zinazotumia nguvu. Upangaji wa timu unakuwa wa majaribio.Defensive strategy haipewi umuhimu wakati Bould yupo lakini hasikilizwi inavyopaswa. Msimu uliopita kulikuwa na tatizo baina ya Bould na Wenger baada ya kufungwa goli 6 na Chelsea kuhusu defensive tactics.
Ugonjwa wa maliria ni hatari sana hasa yakipanda kichwani
Wewe timu yako iko wapi? Out of CL umebaki kubangaiza tu, unafikiri kocha wa Stoke au Manure Van Gaffe wanaweza kupata mafanikio ya kocha msomi? khe keh khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MK dons wanawachubiri khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi timu yako ilishinda Gold EPL cup mwaka gani?
Wakulipe wewe basi £8 million kwa mwaka kama unaweza mbona unakesha JF? Huyo huyo Chelsick mbona tushamfunga mara nyingi tu au hufahamu?
Point zikikushinda unaanza kuweweseka, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee Aibu mtu mzima na akili zake anaanza kuweweseka kwenye forum. khe khe kje khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu I rest my case. Nilifikiri nabadilishana mawazo na gooner mwenzangu. Baridi kali ya Alaska muda huu inaadhiri watu wengi wasiweze kufikiri rationally bali wageukie matusi na kejeli.