Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Mkuu I rest my case. Nilifikiri nabadilishana mawazo na gooner mwenzangu. Baridi kali ya Alaska muda huu inaadhiri watu wengi wasiweze kufikiri rationally bali wageukie matusi na kejeli.
Wacha uongo, hiyo dharau unasema kila mtu .... ..... hivi wewe na akili zako timamu unafikiri club kama Arsenal wanaweza kumlipa mtu £8 million a year ambaye hawezi ku-deliver? Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri. FYI Prof analiliwa na timu lukuki tena kwa pesa zaidi ya hiyo, last week aliwapa challenge mbona hamkujitokeza? Huyo Mfarisayo timu yake ipo chini ya Mancs chacha hakohoi, nafasi yake imechukuliwa kule Manchester analialia tu kama kasuku sasa.
Tumia kila mbinu chafu ... ..