Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
3 down
Aya mabango yatakua mengi sana arsenal ikifungwa leo ni heri itoke draw
draw sahau,3-0 mrudishe?
game za leo mbaya sana. hakuna kuchekana leo
Kwakuwa Chelsea kapigwa, game yetu hii ilitubidi tushinde ili tupunguze gepu..unaposema hamna kuchekana unakosea sana...game za leo mbaya sana. hakuna kuchekana leo
Hmmmm! Hii mechi imeshakuwa ngumu kuliko ilivyostahili. Ngoja tuendelee kuangalia kama tutafanikiwa kutoa draw au hata kushinda, vinginevyo kelele za kumtema Wenger zitazidi kuongezeka kwa nguvu.
Fking weekend worst defending ever
........:coffee:
Hahahaha!! Wee mm siyo Arsenal,wakifungwa hawa ni neema kwangu.