Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hmmmm! Hii mechi imeshakuwa ngumu kuliko ilivyostahili. Ngoja tuendelee kuangalia kama tutafanikiwa kutoa draw au hata kushinda, vinginevyo kelele za kumtema Wenger zitazidi kuongezeka kwa nguvu.

Pole wangu😎
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol!!!! Wakati wowote ni wakati wa chai/coffee.

Mkuu mbona leo hujibu mention na quotes zangu tatizo nn?@everlenk BAK haoni mention zangu
 
Last edited by a moderator:
Gunners wanawanyima usingizi wengi sana, sisi hatuna wasi wasi tunaweza kupoteza mechi kama hii ambayo ina historia yake pamoja na majeruhi tuliyonayo, magoli matatu si chochote kwa timu yetu ngoja tuone second half mpira ni dakika 90 ... ... . . COYG.


Welbeck in for Bellerin .... ... .. ..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
We acha tu hata kununa nimeshindwa, 3-0 before half time?
A%20S-confused1.gif
A%20S-confused1.gif
A%20S-confused1.gif


Pole wangu😎
 
Wakuu hivi Wenger anaumwa? Mzee anaonekana kama kakonda usoni
 
mashabiki wa arsenal mna roho ngumu kama ya paka mwitu.
 
Hahahahaha lol!!!! Kwani majibu ya everlenk hayakutoshi mpaka nijibu mie? Hebu rudisha kwanza ile avatar iliyozoeleka hapa jamvini.

hahahahaha! mkuu BAK umehamia huku? leo hali ya mwalimu si hali tena--ni MAJANGA. watoto wamepiga la 4!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom