Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umeona eeh!! Dakika za mwisho kibao kinaweza kugeuziwa kwako, machungu yake si ya kawaida. Na wale Southhampton ni wazuri mwaka huu, si vibonde tena.

Acha kabisa dakika za mwisho ni nzuri sana na ni mbaya sana,zikutumiwa vizuri huleta matokeo mazuri maana timu zote zinakuwa kwenye tension kubwa,dah unanikumbusha machungu ya Argentina kukosa Ndoo kwenye world cup dakika za mwisho zikabadilisha mambo.
 
Arsenal walishinda baada ya S'pton kufanya substutions tatu, so yule beki wao alivyoumia na kutoka wakawa wanacheza pungufu na Wajukuu wa Wenger wakafungia hapo.

We have seen the worst of Man Utd lakini huweziamini they are on top of Arsenal.

Hahahaha!!! Umeona eh? Na bado tutawashangaza dunia zaidi.
 
Umeona eeh!! Dakika za mwisho kibao kinaweza kugeuziwa kwako, machungu yake si ya kawaida. Na wale Southhampton ni wazuri mwaka huu, si vibonde tena.
,
Katika maajabu saba ya ligi hii Southampton nao wamo,kwa kweli wameishangaza dunia haswaaa hawa jamaa wakitulia wanaweza kutufanya tushangae zaidi.

Loh!! Tunapiga story za timu nyingine usije nifukuza bure kwenye thread yenu,😀😀😉
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hawakutegemewa kabisa kuwepo kwenye nafasi hiyo hasa baada ya kutowasajili wachezaji wao wazuri wa msimu uliopita. I hope they'll be able to maintain the same pace for the remainder of this season.

,
Katika maajabu saba ya ligi hii Southampton nao wamo,kwa kweli wameishangaza dunia haswaaa hawa jamaa wakitulia wanaweza kutufanya tushangae zaidi.

Loh!! Tunapiga story za timu nyingine usije nifukuza bure kwenye thread yenu,😀😀😉
 
Last minutes victory ni mtamu sana ila isiwe vice versa ni chungu mno!well done arsenal twenzetuni mdo mdo!
 
10387539_10152684114642713_4478154331809622358_n.jpg
 
44,785 more to go to reach the magic number of 1,000,000
 
Wojciech na Mathieu Debuchy walikuwepo Colney leo kwenye mazoezi .. ... .. ... . were're going to be back in business very soon .. ... ... ... .COYG. Baada ya Stoke vijana watatimka na kwenda kwenye CL na Galatasaray . .. .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
There is only one invincible ARSENAL ARSENAL ARSENAL ARSENAL ARSENAL ARSENAL, say it 49 times. Yeah 49 unbeaten times
Cc DonDonald, Nzi, Belo, Wacha1,
 
Wakuu wa Gunners tupo kuwaona hawa Stoke .. .... .. Martinez anaendelea kushika namba golini na 19 year old ndani ya dimba .. .. ... ... bring them on COYG
 
Back
Top Bottom