Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu hongereni sana jana nilipata dharura sikuweza kuangalia lakini nashukuru utafiti kanitumia link nimeangalia YouTube magoli yote...Sanchez ni mashine nyingine kali arsenal msimu huu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hongereni sana,jana nilipata dharura sikuweza kuangalia game lakini nashukuru utafiti kanitumia link nimeangalia YouTube magoli yote...hakika Sanchez ni mashine nyingine kali sana kwa arsenal msimu huu
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana wakuu kwa ushindi wa jana.

Cc: BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahsante sana everlenk....We're through to the next stage.

#InGunnersWeTrust.

Loh!! Naona jino hadi la mwisho,jana sikuicheki game sina mengi ya kusema nilikuwa kiEsrow zaidi,hiyo ndo habari ya mujini....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Doubtful Szczesny (hip), Sanogo (hamstring), Welbeck (knee)

Injured Arteta (calf, 6 Dec), Walcott (groin, 6 Dec), Debuchy (ankle, 13 Dec), Ospina (thigh, 13 Dec), Özil (knee, Jan), Wilshere (ankle, Mar)

Suspended None

Form LDWWLL

Discipline Y31 R0

Leading scorer Sánchez 8

West Bromwich Albion Arsenal Premier League
 
👆
West Bromwich Albion v Arsenal: probable starters in bold, contenders in light
West Bromwich Albion
Subs from Myhill, Pocognoli, McAuley, Davidson, Baird, O’Neil, Mulumbu, Blanco, Sessègnon, Samaras, Ideye

Doubtful Pocognoli (hamstring)

Injured Olsson (calf, Jan), Varela (groin, unknown)

Suspended Yacob (first of three)

Form LDDWLL

Discipline Y19 R1

Leading scorer Berahino 7

Arsenal
Subs from Szczesny, Huddart, Bellerín, Koscielny, Rosicky, Podolski, Campbell, Akpom, Sanogo, Welbeck
 
Back
Top Bottom