Meno nje wapi mamii ni mwendo wa kushika tama tu hapa
Pamoja na Beki yetu ya kati kuwa tepe, bado kushindwa kuwapiga hawa Man Utd na Squad yao ni Sign kuwa AW hana jipya tena!!!!
Usikimbie baadae hapa....
Mkuu hapa ndio hii timu inanizidishia presha....
Tangu dakika ya kwanza tunacheza vizuuuuri.....
Bibie wacha nyodo zako.................Hivi kuna watu bado wanashabikiaga Arsenal
Hivi kuna watu bado wanashabikiaga Arsenal
Time for Wenger to step down as Arsenal boss!