Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumeshapata nafasi mbili nzuri sana ambazo zote zingestahili kuwa magoli.
 
BAK hawa majamaa ni wenu kabisa kazi kwenu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Pamoja na Beki yetu ya kati kuwa tepe, bado kushindwa kuwapiga hawa Man Utd na Squad yao ni Sign kuwa AW hana jipya tena!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya haya tena leo ni leo asiye na "ntoto" abebe mbuzi mgongoni, shughuli inakaribia kuanza rasmi. Best wangu everlenk alionekana moyo ukienda mbio kupita kiasi angalia usizimie tu best, ukiona hali mbaya cheza mbali na TV au izime kabisa hahahahahah lol!!! Enjoy the game.

Loh!! Niache kidogo tutaongea baada ya dk 90.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Daah! Hii timu yetu sijui ina laana!!?...yani nafasi zote hizi tulizozipata kipindi cha kwanza tumeshindwa kuwafunga hawa watu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tulistahili kuwa mbele at least kwa goli 2-0, halafu mie mwenzenu huyu Willshere hmmmmm!
 
Nipo Mkuu mpira tucheze sie kufungwa tufungwe sie! Dah!!! Inauma sana Mkuu goli la kujifunga kwa uzembe.

Mkuu hapa ndio hii timu inanizidishia presha....
Tangu dakika ya kwanza tunacheza vizuuuuri.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MgonjwaUkimwi,
Hapa ndugu yangu umenizidi kete! Looh sijawahi sikia hii (signature):- Mwendawazimu ni binadamu mwenye Uhuru bila Nidhamu, na Mtumwa ni binadamu mwenye Nidhamu bila Uhuru. Nimesoma mara mbili mbili nakila mara hujikuta nacheka mwenyewe maanake kweli imetanda kwa kila sura ya shilingi hii... inauma tu pale utakapo jaribu kufanya mahesabu kupata hitimisho yaani Mtumwa ni sawa kabisa na mwendawazimu, japokuwa wametofautiana chanzo....Wee mkali!

Umeona uzembe wenu?
 
Pamoja na Beki yetu ya kati kuwa tepe, bado kushindwa kuwapiga hawa Man Utd na Squad yao ni Sign kuwa AW hana jipya tena!!!!
 
Back
Top Bottom