Usiwe na wasiwasi Mkuu. Kuna wakati tulikuwa nyuma kwa point 11 na "Football analysts" wakawa wameshatuondoa kabisa katika kinyang'anyiro cha EPL 2010. Waliokuwa mbele yetu wakaanza kuteleza na sisi pamoja na kuwa na majeruhi kibao lakini tukaanza kufanya vizuri mchezo mmoja baada ya mwingine na hatimaye kuondoa pengo kubwa lilikuwepo. Sasa kama watateleza tena na tukiweza kuzipita hizi wiki mbili kwa mafanikio makubwa basi si ajabu tukawa tunaimba wimbo huu in few weeks. There it is There it is, Why it took us so long to win EPL championship...LOL! 😉
Have a great weekend Bro'
ALEX FERGUSON has told Manchester United fans to stop their vile abuse of Arsene Wenger. Fans verbally attack Wenger home and away and Ferguson wants the chants to stop, starting tomorrow at the Emirates. Ferguson said: "There's been some terrible abuse from our fans to Arsene Wenger and there must be a line drawn.
Itakuwa poa sana kama hawa Burnley leo hii watatusaidia kuwasimamisha Chelsea katika safari yetu ya kuelekea kileleni 😉 Najua dua la kuku huwa halimpati mwewe lakini mara chache dua la kuku husikilizwa na muumba wake 🙂
Itakuwa poa sana kama hawa Burnley leo hii watatusaidia kuwasimamisha Chelsea katika safari yetu ya kuelekea kileleni 😉 Najua dua la kuku huwa halimpati mwewe lakini mara chache dua la kuku husikilizwa na muumba wake 🙂
Jisaidieni wenyewe msisubiri kusaidiwa!Itakuwa poa sana kama hawa Burnley leo hii watatusaidia kuwasimamisha Chelsea katika safari yetu ya kuelekea kileleni 😉 Najua dua la kuku huwa halimpati mwewe lakini mara chache dua la kuku husikilizwa na muumba wake 🙂
ujumbe huu pia kaandike kwenye jukwaa la man united kwenye rooney weka fabregas kwenye campbell weka vidic au unataka sana man united washinde ?Natanguliza pole kwa kipigo cha Kesho! Hakuna cha Lazy Campbell kumuweza Rooney mara ya mwisho alisababisha penalty kwa huyo huyo Rooney! Poleni sana Fat Arse!
karibu sana kesho hapa usije ukawa bubu tu.alafu campbell kesho kakuandalia goli lake la kichwa utaliona.Kesho nashinda hapa! teh teh teh teh teh
karibu sana kesho hapa usije ukawa bubu tu.alafu campbell kesho kakuandalia goli lake la kichwa utaliona.
Kesho nashinda hapa! teh teh teh teh teh
Jisaidieni wenyewe msisubiri kusaidiwa!
Teh teh teh teh naekea Imarati sasa!