Wakuu wa Gunners polen kwa kipigo hiyo ndio sehemu ya mchezo but to be honest Wenger kazingua alikosea kumtoa Cazorla na ukifuatilia baada ya Carla kutoka ndio tulishndwa kumiliki mpira katika half ya mpinzani na ndio hapo Cesc Fabregas(hongera Zake) akapata chance ya kupiga the Best pass of the Match ambayo inamkuta Diego ikiwa ni 2 aganst 1 ni makosa yale yale kama ilivyokuwa game ya BvB ambapo ilikuwa ni 3 against 1 na bado mtu akapata goli.
Kitu cha muhimu tujipange na mtanange ujao but So far Wenger inabid afanye kazi ya ziada ili kuweza kushinda Big Match.