Tatizo goons mnapenda sana chenga twawala! Mnataka kupiga chenga hadi golini, kha!
Wala hata sijafurahi....nakuombea ushinde,mupenzi wewe tena ukisononeka najua kazi itakuwa kwangu,wewe tu ndo hunipendi unafurahi mabaya kwangu.
LoL! Upenzi wa kwenye World Cup, sasa kama hunitakii mabaya siku ile ni aje ukaanza kunipa za uso? Mie nilibaki nacheka tu maana sikujua kama nawe unajua kununa/kukasirika 🙂🙂
Leo Ozil akifika pale mbele anapata kigugumizi cha miguu sijui kwanini
Mi nilitaka Morinho amtwike ndoo Wenger Musica
Mi nilitaka Morinho amtwike ndoo Wenger Musica
Sijui ni kwa nini mkuu na mbaya zaidi akipoteza mpira ana simama kusikitika badala kurud kukaba.
Kwani striker wetu Wellbeck hayupo?
Anaoanao .