"Welbeck was a small fish in a big pond and now a big fish in a small pond" 
English media are killing the English football. The media dramatise issues that don't need dramatisation.
Now Welbeck is the hero and LvG the culprit. Tomorrow it will be the opposite of that in the same media.
Falcao ana assist 2 katika game 3 alizochezea Man United,hizi statistics zako sijui ni za mashindano yapi
Hivi man united wanacheza lini uefa?
Welback ligi kuu ana goli 2 , hata kumi bora ya wafungaji hayumo, uchezaji wake wa msimu tu, na hata angebaki bado angekaa bench, after all Man U haina tatizo la striker,so is nt a big deal kujadili habari za welback
Hivi man united wanacheza lini uefa?
Mtanange sikupata kuushuhudia mkuu liakin kwa hizo Facts natumai ujumbe umewafikia Wahusika........#Fact ; mpaka sasa Welbeck amefunga magoli mengi kuliko Falcao baada ya kusajiliwa katika team zao mpya.
.......#Fact ; mpaka sasa, Welbeck amefunga magoli mengi kuliko Falcao katika EPL
.......#Fact ; mpaka sasa Welbeck amefunga magoli mengi kuliko Falcao katika Champions league 2014/2015
......#Fact ; mpaka sasa Welbeck ana assist nyingi kuliko Falcao katika team zao mpya...
......#Fact , mpaka hapa, Nzi na Belo wanakubaliana na Mbu kuwa Welbeck amempiku Falcao kwa kufunga magoli mengi katika msimu huu!
.....#Fact ; mnataka kubisha lakini hamna point....
.....#Fact , Nzi na Belo mnataka ku -Like lakini mnaona haya....
.....#Fact , mnajishauri mjibu nini sasa na ukweli ushadhihiri Welbeck ni mfungaji bora mpaka sasa kuliko Falcao.....
:coffee:
Pamoja Sana MkuuWakuu wa Gunners mpo?
Samahani wakuu mimi nipo busy kidogo na masuala fulani fulani.
Lakini mimi niliona mapema ubora wa Danny Welbeck aliposajiliwa, na anawaonyesha Giroud na Yaya Sanogo namna ya kupokea mapande na kuweka mpira kimiani.
Tatizo lipo kidogo kwenye consistency na jambo hilo linafanyiwa kazi, pamoja na kuhakikisha kwamba Welbeck anasaidiwa vizuri na akina Sanchez na Ozila basi Arsenal watakuwa na nafasi nzuri kushinda kila mechi.
Pia kama Arsenal watashinda mechi dhidi ya Chelsea jumapili basi tutakuwa na tunachuana nao hadi mwisho wa ligi mwakani.
Tukijaaliwa Jumapili naweza kuungana nanyi.
LvG anatafuna maneno yake..so far Welbeck: 4 goals 5 assists vs. mbadala wake Falcao: 0 goals 0 assists
......hahahaha!, #HATTRICK katika UCL ndio mpango mzima,......! acha kuilaumu English Media bana, siku zote wana Dramatize habari za kina ROJO, BLIND, 'FLACAO', VAN GAAL 'the football genius', nanyi mlikuwa mnaona rahaaaa!!!....:rockon::rockon::rockon:
.......[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=fact][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Fact]#Fact [/URL] [/URL] ; mpaka sasa Welbeck amefunga magoli mengi kuliko Falcao baada ya kusajiliwa katika team zao mpya.
.......[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=fact][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Fact]#Fact [/URL] [/URL] ; mpaka sasa, Welbeck amefunga magoli mengi kuliko Falcao katika EPL
.......[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=fact][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Fact]#Fact [/URL] [/URL] ; mpaka sasa Welbeck amefunga magoli mengi kuliko Falcao katika Champions league 2014/2015
......[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=fact][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Fact]#Fact [/URL] [/URL] ; mpaka sasa Welbeck ana assist nyingi kuliko Falcao katika team zao mpya...
......[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=fact][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Fact]#Fact [/URL] [/URL] , mpaka hapa, Nzi na Belo wanakubaliana na Mbu kuwa Welbeck amempiku Falcao kwa kufunga magoli mengi katika msimu huu!
.....[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=fact][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Fact]#Fact [/URL] [/URL] ; mnataka kubisha lakini hamna point....
.....[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=fact][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Fact]#Fact [/URL] [/URL] , Nzi na Belo mnataka ku -Like lakini mnaona haya....
.....[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=fact][URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Fact]#Fact [/URL] [/URL] , mnajishauri mjibu nini sasa na ukweli ushadhihiri Welbeck ni mfungaji bora mpaka sasa kuliko Falcao.....
:coffee: