Duh! Mbona kumepooza sana humu?! Au macho yangu?!
Mkuu man u wanacheza saa ngapi. ..
Naona mmerudi mlikuwa mnachungulizia wapi?
Huyo Welbeck kawatekenya kidogo leo; kesho mtaanza kumkana.
Anyways, cha ajabu hakuna, kwani nyie ni wasindikizaji tu hizi zingine ni mbwembwe.
Ahadi yangu bado ipo pale pale.
Ars888 mwenzio mwenyewe anakushangaa ..........ngoja wellbeck aje kipind cha pili abebe mpira wake kisha atoke awasubiri wale chelsick aje afanye yake.
umekunywa viroba mkuu
LvG anatafuna maneno yake..so far Welbeck: 4 goals 5 assists vs. mbadala wake Falcao: 0 goals 0 assists