Inaniuma, ila sina budi kukubaliana nawe. Kocha hatuna. Tuna director of finance ktk mambo ambayo hayahusiani na moja kwa moja na kucheza mpira kiwanjani. Wenger yuko sooo out of touch with the current games, always outsmarted by young managers. Tulivyopigwagwa nane na Manu, sita na Mancity, tano na liver, sita na chelsea, walitumia very same tactics, Pressing us high up the pitch na kutufanyia counter attacks za kufa mtu. Wenger hajajifunza kitu hapo. Bado anatumia tactics hizo hizo tulizoangamizwa. Jana ilitakiwa yawe maafa mengine. Tuna bahati arsenal. Amemuaharibu Ozil, kamuharibu Arteta (sio yule wa Everton), anamuharibu Podolsi, Carzola na anawakumbatia kina Wilshire, Szeschey!! Sioni tukichukua kombe kubwa tukiwa na wenger. Tutaishia Carling cup na labda FA kama tuna bahati kwenye draw kukwepa timu kubwa.
Asante kwa kuona hilo, nakupongeza kwa kuona udhaifu wa team yako, sio wale wengine wanaofurahia tu bila kujua technicality ya timu.
Kocha wa kubadilisha, EPL ya miaka hii sio ile ya kuchukua msimu mzima unbeaten, mambo yanabadilika if you cant spend in the market show us how well you can organise your team kama jurgen klopp.
You need proactive coach.
C.C BAK rubaman Nzi Wacha1 RRONDO privacy Ngongo @mndenereko
Siku mkibeba UCL, chelsea itakuwa nayo 5
Sasa hivi mahesabu hasubuhi. EPL na UCL hamna chenu. Ikifika january mmechakazwa tayari.
Siioni arsenal ya kubeba kombe msimu huu.
Dah! Yaani alitaka kabisa kurudi nyumbani babu akamfungia mlango! Angemchukua tu hata kama anadai Ozil yupo. Tungekuwa na squad kubwa zaidi. Alafu INANIUMA sana ninapomuona ndani ya uzi wa Chelsea akipiga ma-assists. Ila ndo mambo ya hindsight haya, tungejua.
Ndo kwanza Wenger kasign hadi 2017..... kazi tunayo bado!!!!
Van Gal alisema Welbeck si mfungaji mkaja juu kama moto wa kifuu jana mmejionea wenyewe.
Asante kwa kuona hilo, nakupongeza kwa kuona udhaifu wa team yako, sio wale wengine wanaofurahia tu bila kujua technicality ya timu.
Kocha wa kubadilisha, EPL ya miaka hii sio ile ya kuchukua msimu mzima unbeaten, mambo yanabadilika if you cant spend in the market show us how well you can organise your team kama jurgen klopp.
You need proactive coach.
C.C BAK rubaman Nzi Wacha1 RRONDO privacy Ngongo @mndenereko
same old story for the past 17 seasons!!!!!! hamna jipya.
Asante kwa kuona hilo, nakupongeza kwa kuona udhaifu wa team yako, sio wale wengine wanaofurahia tu bila kujua technicality ya timu.
Kocha wa kubadilisha, EPL ya miaka hii sio ile ya kuchukua msimu mzima unbeaten, mambo yanabadilika if you cant spend in the market show us how well you can organise your team kama jurgen klopp.
You need proactive coach.
C.C BAK rubaman Nzi Wacha1 RRONDO privacy Ngongo @mndenereko
mi siyo hao mambulula bhaana, mi nipo kule kwa matop assister na matop scorer ...........nimekuona kule YNWA tena upo huku ! bila shaka wewe ni 'Man useless'
mkuu Ally Kombo usirudie tena kuniita hivyo! ........... wengine 2po nyumbani tunasubiria mafao yetu ya EAST AFRICA tunajiliwaza na JF kupunguza machungu y kupigwa mabomu ya machozi. so ukiniita hivyo unanikumbusha ujana wangu wakati napiga kazi kw bidii leo hii 2naonekana ha2na thamani........duuuh ! pole mkuu, nilikuwa nam-quote dogo mmoja anajita Grand PA
Duh! Nimesoma jinsi goons wanavyotia huruma hadi mbavu sina.
Mara oh Ozil hafai; Welbeck anahitaji muda zaidi; Wenger hafai; na porojo nyingi kama hizo.
Poleni sana goons. Nafikiri bado mnakumbuka ahadi yangu. Ngoja niwakumbushe tena:
"Arsenal wakishinda UCL msimu huu naacha kushabikia Man United na nahamia Arsenal".
Bado ahadi ipo pale pale.
Hivi kwani ni lazima kila siku ozil aanze! nikweli MTU kama rosicky na oxlade ama fundi carzola hawawezi kucheza nafasi yake na ikanoga tu!aaaaargh
Yani unakuta hajitumi kwenye kukaba,anakua hayuko mchezoni kabisa,
Kwanini Wenger anamkumbatia sana?na mbona amemsahau Anko tom kabisa dah!
Ozil anaonyesha ufaza arsenal, nadhani anaamini kwamba panga pangua lazima awemo-ni muda sasa apangwe kulingana na juhudi anazoonyesha sio kutokana na jina!!
hata mikataba inawalinda sana masupastaa wanapohamia tim flani kama ozil kuna kipengele kinamlinda kuwa kama yupo fit lazma aanze first eleven
Kwa hiyo asipopangwa inakuaje?? Anaondoka au? Itakuwa afadhari asipangwe ili aende Munich.
Dah! Yaani nikikumbuka jana kibanda umiza kitaani kwetu Arsenal tumetaniwa sana. Alafu Manu ndo wenye domo kubwa. Alafu nadhani watu wengi kwenye vibanda umiza Arsenal na Manu ndo timu kubwa. Yaani utakuta inacheza Chelsea na timu nyingine, mtu anaitania Arsenal, inacheza ManShitty na mwingine, wanatania Arsenal, inacheza Manu na mwingine, inataniwa Arsenal. Ukiona wanakujadili sana ujue wamekukubali. Hii ni kwa vibanda umiza vingi huku uswaz, COYG.
kwa timu yenu hiyo mbovu, sidhani kama itapita group stage so siwezi kula ......... foward mwenyewe tokea nimeanza kumjua hajawahi kubadilisha staili ya nywele! SHABARANSI
Grand PA
Sisi tutakuwaisha Mirembe huo ndio msaada wetu.
Poleni majirani
hizo swag! tu baab! ........... poleni kw kichapo.Anastahili kuwa Mirembe hata hivi sasa, ona Avatar yake kama sio mwehu ni nini?
Asante kwa kuelewa nilichokua nakimaanisha ..........Hakuna mtu kama huyu duniani, tunayemjua anaitwa SHABA RANKS
Kwa kweli tutawakoma,jana mmeanza kutuonyesha makali yenu
Mtamkoma mwaka huu ... .. .... ..COYG
Tumeshuhudia jana kapakatwa ahsanteni kwa hlolazima Dortmund apakatwe.........
tukaribie nini sasa??,kpgo ama??Arsenal leo tunakutana na Borussia
Dortmund ugenini michuano ya
Champions League kundi D
Mathieu Debuchy ni majeruhi na
Calum Chambers ambaye anaweza
kucheza beki mbili uwepo wake ni
50/50 kwa kua anasumbuliwa na
tonsils.
Beki mbili pekee aliyejumuishwa
katika kikosi hicho ni Hector
Bellerin, na hivi ndivyo Wenger
anavyomzungumzia:
'Bellerin ni mvulana anayejielewa.
Hatishwi na presha. Hilo ni
muhimu ukiwa bado mvulana.
Kubadilika (kukaba na kushambulia
dimbani) kwake ni bora kabisa.
'Ni mwepesi na ana kasi na pasi
zake za mwisho ni nzuri. Anakosa
uzoefu lakini ni mchezaji hatari
sana.'
Bellerin amecheza mechi moja tu
ya nguvu akiiwakilisha Arsenal;
michuano ya the Capital One Cup,
hajawahi cheza EPL wala FA cup na
leo kwa mara ya wkanza tukiwa
ugenini anaweza kucheza
Champions League dhidi ya
Dortmund dimbani kwao
Westfalenstadion.
Nilimshuhudia akiwa anapandisha timu ni mzuri kwa kweli ana kasi kuliko walcot.
Cheers tukutane Ujerumani
Man u nawakaribisha maana hamna timu huku
#coyg
bora kutokuwepo ama kuwepo na kuaibishwa??Wale vijana wa In Van We Rust hatuwahitaji kabisahapa,wasubiri may be next season if they'll make it!!!
Atleast you are being honest with yourselfI see we borrowed the Chelsea bus today or at least so far
Ndo maana tukamuuzaAccuracy ya Welbeck bado ndogo sana
atazamisha mech inayofuata usijali mkuu!!Webeck alitakiwa kuzamisha lile ... .. .. .