Mkuu Welbeck hahitaji muda, alikuwa hachezi kwenye ligi ya nje yupo EPL muda wote, wachezaji wanaopewa muda ni wale waliokuwa wanacheza ligi tofauti. He should refrain from media hype na kujiona bora (leo kakosa two clear chances) kwenye EPL na Manc alikosa sitter ... .... .. angalia Alexis muda gani amekuwa kwenye EPL?
Leo umekua mpole utafikiri umepakwa mafuta ya mawese. Na utasubiri miaka 25 kuingia final ya michuano hiii.Mkuu Welbeck hahitaji muda, alikuwa hachezi kwenye ligi ya nje yupo EPL muda wote, wachezaji wanaopewa muda ni wale waliokuwa wanacheza ligi tofauti. He should refrain from media hype na kujiona bora (leo kakosa two clear chances) kwenye EPL na Manc alikosa sitter ... .... .. angalia Alexis muda gani amekuwa kwenye EPL?
Yeah kuvuka tutavuka mkuu but haipaswi tuvuke kama mshndh wa pili maana ikitokea hivyo ndio yatatokea kama ya misimu miwili iliyopita.
Ndio mshajikolea hivyo.Gooners tusikate tamaa hii ni one of those days!!
Hongera Gunners kwa kufungwa machacheHongera kwa BVB Walistahili ushindi kutokana na jinsi walivyocheza.
Lets go to Colney to prepare for the next game
COYG.
Arsenal wakipita group stage nakunya mavi nakula.
Grand PA
Timu bora isiyo wahi kuchukua UCL.timu bora imefungwa leo
mkicheza hivi kama leo jumamosi mnafungwa na aston villa
Biashara yenu ndio imeishia paleLakini bado nina imani katika hili kundi tunavuka.
Hongera Gunners kwa kufungwa machache
Wengi tu wameshakimbia
Kuna watu na timu zao wanachezea mchangani ati na wao wamekuja kuonyesha pua humu, Aibu - Gunners wanacheza CL wao chijui wako wapi? Wanaingia kwa aibu - The Red Cross Team nendeni mkaugulie MK Dons. Mpira tumefungwa na hii ni halftime tu watakuja Emirates hapo ndipo watakapofahamu zipi mbivu .... ...... .... .... wala hatuna shida.
Sio kukimbia, tulienda cheki mechi.
Timu bora isiyo wahi kuchukua UCL.
Dah, leo soka limetugomea tena.... In Wenger We Rust!!!!!!
Tumekuja msibani kutoa pole