:hail::hail::hail::hail::hail:,umenifurahisha sana naombea amchezesha centre half siku tukikutana
Dahhh, mbona hamna imani na Gaffer jamani? InArseneWenger I trust,.......😛op2:
Si ajabu akachezeshwa Centre Half halafu akang'ara vile vile!
Arsenal kwa kweli tunahitaji beki na kiungo namba 6(Arteta na Flamini) ni squad players afu tunahitaji mtu wa kumreplace Ramsey(akiumia). Mwaka jana Ramsey alipoumia kila kitu kikakwenda mrama(mlama). Naamini Sanchez atakuwa mfungaji mkubwa wetu, plus Walcott akirudi(endapo atakuwa katika form kama awali) ataongoza ushambuliaji na atafunga magoli.
Welbeck bado dogo, sio ka kina Silvestre. Huyu dogo Arsenal atawika tu. Vitu viwili sijapenda ni dili la mkopo na pia panki lake silipenda, maisha mapya Arsenal aache kuwa Shaba Ranks.
:hail::hail::hail::hail::hail:,umenifurahisha sana naombea amchezesha centre half siku tukikutana
Nimekuelewa sasa Mzee wa Kuala Lumpur...
Bado haujanijibu...Tatizo la Man U ni mshambuliaji au safu ya ulinzi na DM?...
Kuna umuhimu gani wa kumsajili Falcao ilhali tayari mnao Mata, Di Maria, RVP, Rooney na Valencia?... Kwa nn LVG asisajili beki na DM ambao ni tatizo kwa Man U?
Dili bado halijakamilishwa. Pamoja na kuwa mdogo kuna uwezekano kiwango alichofikia ndo alichotakiwa kufikia. Sikio haliwezi kuwa kubwa kuliko kichwa. I stand to be corrected.
Hujanielewa mkuu rubaman anaelewa atakusaidia ,in short mafanikio ya Man United kwa kiasi fulani yamechangiwa sana na Wenger.Now anatusaidia kufanya overhaul ya kikosi chetu,kumbuka kuna kipindi alikuwa anamtaka Cleverley
torres atakimbiza tu ..unajua Milan kuna watoto wazuri wanajua ku-tan skin kiaina...watammotivate striker wetu kufanya kweli uwanjani!
......TORRES!!!!!!!!!!!!😛op2:
Bwahaha aaaaaaaaaaaa lolz@ deluded arsenil fanatics..Prof hawezi kumnunua Welbeck baada ya Manure jufanya fujo kwa Falcao .... ..... ..... Manure hawakuwa wanamuhitaji bali ni wivu tu sasa mpunga utawatokea puani. Usajili utafanyika in three hours tutajua nani ndani nani nje lakini Welbeck is out ... .... ... ... COYG
Nimekuelewa sasa Mzee wa Kuala Lumpur...
Bado haujanijibu...Tatizo la Man U ni mshambuliaji au safu ya ulinzi na DM?...
Kuna umuhimu gani wa kumsajili Falcao ilhali tayari mnao Mata, Di Maria, RVP, Rooney na Valencia?... Kwa nn LVG asisajili beki na DM ambao ni tatizo kwa Man U?
Bwahaha aaaaaaaaaaaa lolz@ deluded arsenil fanatics..
- CHAMBERS,
- DEBUCHY
......halafu hapo kwenye kiungo yupo Vassiriki Abou Diaby, Francis Coquelin na Gideon Zelalem.
NO panic buys banaaaa,......! Si huyo OZIL alisajiliwa kwa mbwembwe £42m, ila 'mdebwedo' tu!
InArseneWengerItrust!!!
Nimekuelewa sasa Mzee wa Kuala Lumpur...
Bado haujanijibu...Tatizo la Man U ni mshambuliaji au safu ya ulinzi na DM?...
Kuna umuhimu gani wa kumsajili Falcao ilhali tayari mnao Mata, Di Maria, RVP, Rooney na Valencia?... Kwa nn LVG asisajili beki na DM ambao ni tatizo kwa Man U?
Kuwasajili kina Falcao sio tatizo kiungo mkabaji tayari kamsajili Blind na huenda January akamsajili Strootman deal ya Falcao ni loan huenda ikawaamsha Rooney na RVP wakajua kuwa hawako salama
On my view ninahisi LVG anataka kujenga timu upya wachezaji wengi aliowakuta amegundua hawafai kwenye mfumo wake so hakuna ambaye yuko salama.Tayari Kagawa,Chicharito,Cleverley,Wellbeck,Fellaini,Anderson,Rio,Zaha,Nani kawaambia hawataki. Huu utakuwa msimu muhimu sana kwa RVP,Fletcher,Smalling,Young,Evans,Carick,Valencia,Rafael wasipofanya vizuri msimu ujao huenda nao panga likawapitia
Mkuu una point kubwa. LVG alisema timu haijabalansi, Man Utd ina wachezaji kibao wanaocheza nafasi moja, cha ajabu anazidi kuleta wachezaji wanaocheza nafasi hiyo hiyo. Hata kama Falcao kaja kuwareplace Chicharito na Welbeck bado hajasolve nyuma. Hivi kina Daley Blind na sijui nani vile walishasaini? Belo