Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Mnahitaji kubadilika, kama wenger hata sajili mtakuwa mnafunga kwa kubahatisha
 
Wenger ni sugu wa maumivu!
Sanogo si mchezaji wa kiwango cha arsenal yuko taratibu sana na haoneshi kuchangamka!with him there ni kusubiri miujiza tu!
 
Administrator wa thread hii, ebu pimp out home page yetu bhana. Iko flat mno. Sisi ni timu kubwa sana. Tuna historia ndefu na ya kujivunia toka 1886 mpaka leo. The Gooners, ebu tuwekeni mawazo tofauti nini cha kujumuisha katika thread yetu. Mfano historia ya timu, mafanikio yetu na link ya kwenda our official website katika home page nk. Bila kusahau kuweka katika home page picha ya kikosi cha The Invincible. Pia napenda nikupongeze mleta uzi huu. Nimepitia threads za timu zingine, naona yetu ndo kongwe. COYG!
 

LE PROFESERI ha ahaha ha ha ha ha ahahahahaah ha haha ha haha ahhaa kuna watu walisema eti kitimu cha LEICESTER CITY kimepanda daraja hakiwapi tabu.. ha aha haaha ahahaha haha ah ahahah..

poleni majirani. .:A S 109:
 
Acheni ubahili watani!
Njooni Anfield tuwauzie Borin striker wetu chaguo la 4
Borin atawasaidia nyie sio kama Sonogo

Huyo kaeni nae tu, sunderland yenyewe ilimshinda. Afadhari ata kumkwapua Welbek, nina uhakika under the stewardship ya wenger , atafanya poa! Ila Manu ndo hawataki kumuuza. Babu anahaha sasa. Duh! PS: wajua Sturridge childhood team yake ni Arsenal?? Just saying!
 


Huyu Loic kaingia chaka, anaenda kupasha benchi. Sioni akimweka benchi Costa, au pembeni akimweka Schurrle na Hazard nje. Hapa mwendo ni league cups matches, ila mchezaji unaenda unapotakiwa. Alikuwa 'akijipendekeza' arsenal hadi kwenda uwanjani ila babu alijifanya kipofu. Sasa hivi shughuli. Mwisho wa siku who cares, mshahara mrefu, pia possibility ya kumwa na 'winners' medal. Pia depth ya kikosi, si mbaya!
 
umeona eeh?
kijana ana miaka 27, sasa ukiendelea kucheza timu za 'waze' kama QPR mahali ambapo watu huenda baada ya kustaaf utatoka kweli?

kijana kafanya uamuzi sahihi, ndani ya miaka 4 akiwa mchezaji wa Chelsae atakua na medali za kutosha. Muulize Garry Cahill alitoka Bolton mwezi januari 2012, akacheza miezi 6 tu akiwa na uzi wa Blue, tayari akawa bingwa wa CHAMPIONS LEAGUE na FA. MAISHA NI MALENGO. na KUPANGA NI KUCHAGUA.



 
.....arghhh! Nyie ongezeni tu 'firepower!' sijui Falcao, RVP, Rooney, Balotelli, Sturridge, Sterling, Costa, Fabregas, Drogba,....
WE ARE ARSENAL, WE HAVE SANOGO,
WE DONT CARE!!!

:lock1::lock1::lock1:​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…