Prof bado kaficha karata zake yupo busy na mechi ya leo .... .... .. COYG
BTW kuna jamaa wanachema "If you look at Man City, if anything happens to Edin Dzeko, they bring in Alvaro Negredo. Arsenal haven't got that." Chacha jana walikuwa wapi hao wafungaji .... ..... ... vijitu vingine kwa pumba!
Haya haya first XI ni kama ifuatavyo.
Sczeny Langoni.
Derbuchy, koscielny, Martesacker Monreal ukuta wakati kiungo kuna
Flamin, Ramsey mbele yao kuna
Sanchez, Ozil Cazorla na mbele kabisa kuna Sanogo.
Subs:
Martnez, Chambers, Rosiscky, Campbel, poldosk, Ox na welshere.