Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

vituko haviishi uingereza leo tena timu nyingine ya daraja la kwanza imefanya vitu

FT: Aston Villa 0 - 1 Leyton Orient
 
hongereni na mkalale salama sasa washabiki wa arsenal . karibuni champions league

....mnh, kwakweli, maana ilikuwa presha tupu dakika za lala salama.
Asante Mkuu.

Wazee wa 7up maskini walidhani watajiliwaza leo lakini ndio hivyo tena,
"dua la kuku, halimpati mwewe....!"....MUNGU NI MWEMA.
 
Kesho kunafanyika draw ambapo Arsenal, Liverpool, Manchester City na Chelsea watafahamu watacheza na nani kwenye Champions League.

Timu hizi zimepangwa kwenye makundi manne:

Pot one

Real Madrid, Barcelona, Bayern Munich, Chelsea, Benfica, Atletico Madrid, Arsenal, Porto

Pot two

Schalke, Borussia Dortmund, Juventus, Paris Saint-Germain, Shakhtar Donetsk, Basel, Zenit St Petersburg, Manchester City

Pot three

Bayer Leverkusen , Olympiakos, CSKA Moscow, Ajax, Liverpool, Sporting Lisbon, Galatasaray, Athletic Bilbao

Pot four

Anderlecht, Roma, Steaua Bucharest*, APOEL Nicosia, BATE Borisov, Ludogorets*, Maribor, Monaco, Malmo
 
....mnh, kwakweli, maana ilikuwa presha tupu dakika za lala salama.
Asante Mkuu.

Wazee wa 7up maskini walidhani watajiliwaza leo lakini ndio hivyo tena,
"dua la kuku, halimpati mwewe....!"....MUNGU NI MWEMA.

nilikuona hapa nikasema nisikuchoshe wewe bana miguu tu.
 
,.....ati? unasema disappointing night? sema disappointing weeks!!!....
yaani wiki nzima walikuwa wanaisubiria siku ya leo!....lakini wao ndio
wanakula vibano na vipondo vya kufa mtu!

walikuwa wanatafuta namna ya kutuzomea na practise ya kutuzomea iliwachukua wiki nzima, Sanches kawazima!
 
Wakuu habari za usiku huu ni kwamba Olivier Giroud ametoka kufanyiwa upasuaji wa kiwiko/kifundo cha mguu (ankle) na ameambiwa kurudi uwanjani ni mpaka mwezi January 2015

Hii lazima itamfanya mzee Wenger aingie kwenye soko la usajili na lazima anunuliwe mshambuaji.
 
That's good!! Sanchez pay back £6.8 million for gunners.
 
Wakuu habari za usiku huu ni kwamba Olivier Giroud ametoka kufanyiwa upasuaji wa kiwiko/kifundo cha mguu (ankle) na ameambiwa kurudi uwanjani ni mpaka mwezi January 2015

Hii lazima itamfanya mzee Wenger aingie kwenye soko la usajili na lazima anunuliwe mshambuaji.

hata bila yeye timu iko gado
 
Hongereni wana gunners wote alexis sanches ameonyesha kiwango chake leo big up kwake
 
Sasa nadhani Prof ataingia Sokon kutafuta DM, CB na if possible striker mmoja na naamini baada ya kukamilisha zoezi hili kuna mengi yatatokea ndani ya Siku kadhaa zilizobaki.
 
haya habari za hivi punde

League Cup draw



Full third-round draw:


Arsenal v Southampton

full draw

Chelsea v Bolton, Arsenal v Southampton, West Brom v Hull, Crystal Palace v Newcastle, Leyton Orient v Sheffield United, Cardiff v Bournemouth, Sunderland v Stoke, Derby v Reading, Liverpool v Middlesbrough, MK Dons v Bradford, Manchester City v Sheffield Wednesday, Burton Albion v Brighton, Swansea v Everton, Shrewsbury v Norwich, Fulham v Doncaster, Tottenham v Nottingham Forest
 
hongereni watu wa Gunnerz kutoka Kop, Wenye nafasi zao tutatizama draw za champions League wengine watabaki ku sikiliza kile kinyimbo cha Champions league sio siri nimekimisi bado nusu Nikisahau kinavyolia hebu tuwekeeni tukisikie kile ki ring tones wakina Fulani watakisikia kila jumanne na jumatano hata cha Alhamisi basi hawachezi?
 
Back
Top Bottom