Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,157
- 2,663
Alexis mashine kuliko hata Ozil
Pia mi nimeiona hii...hatoi pasi kwa mwenye nafasiSanchez anakaa na mpira bila sababu...Ana kauchoyo flani.
Ushindi ni ushindi tu Chifu...Uwe wa goli 1 au 10...Haijalishi
Pia mi nimeiona hii...hatoi pasi kwa mwenye nafasi
Pedro Proença Oliveira Alves Garcia mbona anapenda sana ku-flash kadi?