ohoooo izo free kick za hapo zinakuanga sio nzuri kabisa
Arsenal, piga cha pili hawa Besiktas,
Jamaa nao wanaonekana wamekuja na game plan.
Dakika inakwenda ya 57
Besiktas wanapig mpira wa adhabu ndani ya mita 28 na unakwenda juu ya goli la Arsenal, "what a waste"