palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Sanchezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...............1-Nil, mapumziko
hongera kijana maana ulikuwa umeshikwa na simanzi
Sanchezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...............1-Nil, mapumziko
Kuna options nje kwa washambuliaji
Sancheeeeeeeeeeez
Arsenal 1 Besiktas 0
ni
.....nilikuwa nashangilia kwanza!!!
Una namba ya wenger hapo? Nataka nimkumbushe kumuingiza sanogo naona washalegeza kamba hawa
Bado mechi ngumu..!!
....#AlexisSanchez kiukweli hili goli litamsaidia confidence, maana....
.......yeah, ila hili goli limetupunguzia tension kidogo.