Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

......inaonekana FAIR PLAY RULE hai apply kwa hawa Besiktas ee?
kila kosa wanashtakia kwa refa ili mchezaji wa Arsenal apewe Card.

Anyway,....:coffee:
 
Demba Ba ni mtu pekee ambae anaweza kutupeleka kucheza kwenye Europa League.

Arsenal hawana budi kumdhibiti huyu Ba

Dakika inakwenda ya 20 na umevuka nusu ya kipindi cha kwanza.

Magoli ni 0-0
 
Veli Kavlak anamchezea vibaya Santi Cazorla na Arsenal wanapiga mpira wa adhabu.
 
Alex Sanchez anapiga na mpira unakwenda moja kwa moja kwa kipa wa Besiktas.

Goli ni 0-0

Dakika inakwenda ya 24
 
hawa washika bunduki watafute goli mapema yasije yakwawakuta kama ya celtic jana.
 
Mathieu Debuchy nae nagongana na kiungo wa Besiktas kiungo wa R Motta lakini wote wanaonekana wapo ok na wanaendelea na mchezo.

Dakika inakwenda ya 28
 
Wakati mwingine Mesut Ozil anaudhi sana maana anaweza akapiga pande halafu akipoteza kwa mchezaji a upinzani anakuwa haufuatilii mpira anabakia akitembea.

lakini nawaaminia Arsenal wanapiga goli anytme.
 
Mchezaji wa pembeni wa Besiktas Ozyakup anapewa kadi ya njano kwa kumkwatua Laurent Koscielny.
 
[TABLE="class: soccer"]
[TR="class: stage-live, bgcolor: #EAF7E7"]
[TD="class: cell_aa timer playing, align: center"]38 [/TD]
[TD="class: cell_ab team-home, align: center"]
Bayer Leverkusen (Ger)​
[/TD]
[TD="class: cell_sa score bold playing, align: center"]3 - 0[/TD]
[TD="class: cell_ac team-away, align: center"]
FC Copenhagen (Den)​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mpaka sasa Arsenal wamejaribu mashuti 4 langoni mwa Besiktas na target 1 na wao Besiktas wamejaribu shuti ammbalo limeenda nje ya target.

Dakika inakwenda ya 39

Arsenal 0 Besiktas 0
 
ARS 0-0 BES

Ila Penalty ya pili inapetwa hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Second half tunahitaji sanogo na campbell labda tunaweza kupata matokeo mazuri
 
Back
Top Bottom