Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Podosky naye ndo hivyo anatuacha anarudi kwao..., kazi tunayo!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Anaenda wap??
Podosky naye ndo hivyo anatuacha anarudi kwao..., kazi tunayo!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Baada ya kuwaangalia Chelsea wakiongeza kapuni mwao magoli mawili na points tatu niko hapa nakodolea macho TV tayari kwa mchapo wetu na Everton. Ni mechi ngumu hii maana Everton ni wazuri na wana speed, I hope siku yangu leo haitaharibiwa. Ushindi mbele kwa mbele wa at least goli 2-0.
#InGunnersWeTrust
Shukrani kaka #Wacha1
Naona utabiri wako umefanya kazi arifu 
Hahahahaha lol!!!! Hata TB Joshua mwenye wafuasi zaidi ya bilioni huwa anakosea, itakuwa mie BAK!? 🙂🙂 lakini usisahau kwamba niliandika hapo juu kwamba mechi ni ngumu. Kwa maana hiyo nilijua kwamba Everton wanaweza wakatusimamisha.
Mbaya ni kuwa tunaendelea kufungwa na our direct rivals kwa top 4 spots.