Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona msimu unaanza Leo..Muda mfupi ujao kipute kitaanza...Pazia la EPL 2014/2015 kufunguliwa rasmi....

Kila la heri Gunners wenzangu wa ukweli...

COYG...

Once a Gunner...Always a Gunner...

Together We Stand....

Bala.

.....yeah man! It's a marathon mpk May panapouzima. Safari hii si ndetichia na Ab-Titchaz wa ManCity, au Mentor na Ntuzu wa Chelski wanathubutu kuleta jeuri yao hapa ya kujitangazia ubingwa kabla ligi haijaanza...

......#Liverpool tu kina Pazi na wengineo ndio naona midomo juu juu as if #Ubingwa mwaka jana waliukosa kibahati bahati. Tutawaona msimu huu wakishiriki pia Champs League.

Kina Nzi na Belo, wazee wa 7Up weshajizoelea sasa, kimyaaaaaa!!!!

All the best #Gunners wote, !!!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Msimu huu tukiwafunga man utd tu ubingwa wetu.Hii mishetani imetutia gundu kwa kipindi kirefu sana.Na siku tukiyapiga bao nitawakojolea mashabiki maandazi wao wote.Nyambaf

.....mnh?! Weye? Kwani michezo yote ya ligi ni Vs Man U tu, au hiyo ndio team inayokupa presha sanaaa?!

....anyway, nimepigia mstari utabiri wako....huenda mwenzetu una darubini kali!

#MosKwito !
 
.....yeah man! It's a marathon mpk May panapouzima. Safari hii si ndetichia na Ab-Titchaz wa ManCity, au Mentor na Ntuzu wa Chelski wanathubutu kuleta jeuri yao hapa ya kujitangazia ubingwa kabla ligi haijaanza...

......#Liverpool tu kina Pazi na wengineo ndio naona midomo juu juu as if #Ubingwa mwaka jana waliukosa kibahati bahati. Tutawaona msimu huu wakishiriki pia Champs League.

Kina Nzi na Belo, wazee wa 7Up weshajizoelea sasa, kimyaaaaaa!!!!

All the best #Gunners wote, !!!

#MosKwito !

Halafu wakipigwa tu mechi moja wote wanakimbilia Uvunguni!!!.
 
Last edited by a moderator:
gun__1408102071_CoverKJM.jpg
Kiwingu kimetanda hapa Emirates two weeks kabla ya kufunga summer rasmi na kukaribisha autumn. Ungo umewasili kama kawa tinawachubili vijana hapo baadaye watuletee burudani. Kona zote hapa ni red and white wale waliokuwa wanajifanya kuleta fyoko wamefyata mikia. Le Prof kazi anayofanya inaonekana.

Mpira ni mpira nawategemea vijana leo kuweka goli tatu nunge, wasituletee mambo ya mwaka jana walipotuaibisha. Pulis kakimbia kipigo maana aliwaona vijana walivyowabamiza Mancs basi kaona bora isiwe shari. COYG.

Kila la kheri kwa wakongwe wote wa hili jukwaa ambao tumeanza nao mbali na bado tunaendelea, msikonde ingawaje 'New Era at The Emirates' bado inatumikia kifungo cha wivu na husda.

''That switch of spirit [after winning at Wembley] was shown in the Community Shield - the team played with a more relaxed feeling.''

Santi Carzola.
 
Naona kimeshanuka kwa watani...

Dakika ya 35

Man Utd 0-1 Swansea City...

Fabianski analitendea haki goli...
 
Hahahaha kweli Manure hawashikiki! LOL, wako hoi na Van Gaal wao, hohohoho...

Sina mbavu...Ila mwajua wahenga walivyosema "Adui akikatwa nywele......."

Ila kichekesho kwa nguvu Old Trafford, na makeke yote yale?!
 
.....mnh?! Weye? Kwani michezo yote ya ligi ni Vs Man U tu, au hiyo ndio team inayokupa presha sanaaa?!

....anyway, nimepigia mstari utabiri wako....huenda mwenzetu una darubini kali!

#MosKwito !
Mkuu weka kwenye diary kabisa.Arsenal wakiwafunga man utd ubingwa wao msimu huu.
 
Back
Top Bottom