Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  • 17'
    Chamakh clumsily gives the ball away just outside the Crystal Palace penalty area but, luckily for the former Arsenal striker, Ramsey is unable to find a way through the defence. The Crystal Palace back four have been worked extremely hard already, and barely quarter-of-an-hour has been played. It's going to be a long day for Kelly, Dann, Hangeland and Ward...
 
Crystal Palace inacheza ikiongozwa na meneja msaidizi Keith Millen baada ya meneja Tony Pulis kufukuzwa kazi kwa kushindwa kuelewana na mwenye timu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaya Sanogo anajaribu shuti la kwanza on target na mpira unakwenda nje.

Dakika inakwenda ya 27
 
hahahahaha ndiyo rangi yangu hiyo Mkuu, siku nyingine wananipa raha sana na baadhi ya siku hunisononesha, lakini sihami ng'o! lol!!!!

CC: Ngongo


Nimeanza kujua rangi yako. Hahahaha
 
Last edited by a moderator:
  • 27'
    Sanogo slides in and wins the ball before turning and choosing to fire a long-range effort from 20 yards out, but his shot is wild and it flies across the ground and out for a goal kick, causing Speroni no problems whatsoever.
 
hahahahaha ndiyo rangi yangu hiyo Mkuu, siku nyingine wananipa raha sana na baadhi ya siku hunisononesha, lakini sihami ng'o! lol!!!!

CC: Ngongo

Pole sana, kuna wakati usinicheke mimi kumaliza msimu mmoja bila kombe wakati nyie mna misimu isiyohesabika
 
Arsenal bado wanashambulia na ni kona kipa wa Crystal palace anapangua shuti la Jack Wilshere.

Inapigwa kona na inatoka kuwa mpira wa kupigwa.
 
  • 29'
    Debuchy once again flies down the left wing before sending the ball across to Ramsey, who misreads the situation and temporarily loses possession after trying to tee up Wilshere. However, he's persistent and wins the ball back, but no matter how hard they try Arsenal continue to struggle to penetrate the Crystal Palace penalty area.
 
  • 30'
    Great chance for Wilshere, and a great save by Speroni! Wilshere finds himself with the ball at his feet on the edge of the box and, thanks to the amount of space that he has been given by the Crystal Palace defence, he's able to get a shot away, but Speroni dives acrobatically to his right and is able to parry it out for a corner.
 
Msimu huu tunaonekana tuna pace mbele lakini tunakosa sharpness. Inaweza kuwa ni nervous za mwanzoni mwa ligi au kwa vile bado hatujafunga goli. Katikati bado panahitaji marekebisho kabla hatujacheza na kina City, United, Chelsea, Liverpool, Everton, Stoke, spurs.
 
Crystal Palace wamefanya shambuliz moja la kushtukiza na limekuwa kona.

KONA INAPIGWA NA NI GOAL

Crystal Palace 1 Arsenal 0
 
Arsenal wanapata kona ingine dakika ya 37.

Kona inapigwa inaokolewa na mabeki wa Crystal Palace
 
Back
Top Bottom