Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naomba Leo uwaorodheshe Gunners wenzako ili wakianza kukimbilia MMU tuwatafute

LOL Gunners hawakimbii we multiply. Tembelea forums zote za mpira online uone thread ya timu gani ina activity kubwa timu ishinde au kufungwa. Gunners sio kama fans wa Man UTD ambao tangia SAF amkabidhi mikoba Moyes then timu ikafanya vibaya wote mmeingia mitini.
 
Wacha fujo wewe Loserfools mna miaka mingapi hata hamjaonja EPL? Ukweli ndio huo Gunners baada ya kumaliza deni la Emirates wapo on the up upende usipende huo ndio ukweli.
kwani nyie mna miaka mingapi bila ucl?
 
Mkuu unajua fika #TeamArsenal huwa hatukimbii jukwaa letu hata kama tumeadhirika tofauti na wale wa majukwaa mengine ambao wakipata kipigo basi jukwaani wanazima taa na kufunga milango yote kwa siku kadhaa hata visitors wakija wanakuta wenyeji hawapo na jukwaa linakuwa halina uhai kabisa.

Naomba Leo uwaorodheshe Gunners wenzako ili wakianza kukimbilia MMU tuwatafute
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Nadhani uliweza kuhimili vishindo na kuangalia dakika zote 90 kwa raha zako. Naona uliamua kuingia mitini badala ya kurudi kutupa ripoti ya kile ulichokiona katika dakika 90.



Acha maneno mengi subiri dk 90 ziishe
 

Wanaokimbia wanajulikana na wanaobaki wanajulikana,ukifika wakati tutaanza kuwatafuta kule MMU
 
Hahahahaha lol!!!! Sie #TeamArsenal wala usipate shida ya kututafuta kule MMU, kama ni msimu wa EPL tunahusudisha sana kuwepo hapa kwenye jukwaa letu kuliko kule MMU 🙂🙂

Good day 🙂🙂








Wanaokimbia wanajulikana na wanaobaki wanajulikana,ukifika wakati tutaanza kuwatafuta kule MMU
 
Wenger kasema kamaliza kusajili, kikosi kimejitosheleza
 
Wenger kasema kamaliza kusajili, kikosi kimejitosheleza

Kama hizi ni habari za kweli, huyu mzee ndo anapochemkaga. Akishinda mechi za majaribio, hizi ndogo ndogo, hupofuka. Tuna kikosi kizuri kwa msimu huu (Arsenal), na alisema kuwa bado hajamaliza kusajili. Sasa kama ushindi wa jana dhidi ya Mancity iliyokuwa na reserves wengi imembadilisha mawazo kuwa kikosi ni kizuri sana, tutabugi tena. Safari hii ushindani ni mkubwa zaidi. Tunaitaji kikosi kikubwa.
 

Ngoja tuwapige 8-0 asajili dirisha la january
 
Ngoja tuwapige 8-0 asajili dirisha la january


Hadithi njoo utamu kolea .... ..... ... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hadithi za Abunuwasi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wenger kasema kamaliza kusajili, kikosi kimejitosheleza

Amekutaarifu weye Bulldog! Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mnacheza mashindano gani mwaka huu?
 


Baada ya kuwakung'uta Mancs vijana walitinga Novikov Bar - Mayfair





Grand exit: Mikel Arteta (centre) was part of Arsenal's Community Shield celebrations on Sunday night




New recruit: Alexis Sanchez (left) marked his Arsenal competitive debut with victory vs Manchester City










Wachezaji walitoroka mapema kuwahi usingizi wa pono kujiandaa na mazoezi ya leo na kuwakaribisha world cup winners .... ... ......

Haters kuleni mawe ... ...
 







They're back! German World Cup-winning trio (left to right) Lukas Podolski, Per Mertesacker and Mesut Ozil posted a photo on Instagram in their Arsenal training kit, revealing they are ready for the new season





Theo alikuwepo .... ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…