Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
.......they said it was all over? It is now......#COYG , let us pick up our pieces and move on!
Tuanzane na #postmortem sasa, au bado wenzangu mna matumaini ya #lifesupportmachine aka "mathematically" speaking we still have chances for this and that?
Bro Wacha1 haya matokeo yanafadhaisha, but we are the #Gunners , there's still life after all this trauma..... We'll always bounce back,....keeping the faith!
.... Richard wapi analysis zako mkuu, Balantanda, njoo utupie madongo huku, Viper, rubaman, Wandugu Masanja, Piere. Fm vipi banaa, tuendeleeni kubanana humu!
......#COYG , it's a battle cry, Together We Stand!!!!
View attachment 149788
#MosKwito !
simlaumu Wenger kwani yupo kwa lengo maalum
Wachezaji wetu wengi wanatoka Ufaransa jiulize kwanini?
Jaribu kumfuatiliya zaidi ndio mutamjuwa yeye nani
.......they said it was all over? It is now......#COYG , let us pick up our pieces and move on!
Tuanzane na #postmortem sasa, au bado wenzangu mna matumaini ya #lifesupportmachine aka "mathematically" speaking we still have chances for this and that?
Bro Wacha1 haya matokeo yanafadhaisha, but we are the #Gunners , there's still life after all this trauma..... We'll always bounce back,....keeping the faith!
.... Richard wapi analysis zako mkuu, Balantanda, njoo utupie madongo huku, Viper, rubaman, Wandugu Masanja, Piere. Fm vipi banaa, tuendeleeni kubanana humu!
......#COYG , it's a battle cry, Together We Stand!!!!
View attachment 149788
#MosKwito !
Ofcoz wachezaji wetu wengi sasa ni Wajerumani...Zamani alikuwa akienda kwao kwani influence yake kule ilikuwa kubwa na kulikuwa na vipaji ligi ya Le Champione lakini si zama hizi
Wenger ni kocha mzuri lakini ni mgumu sana ku adapt Mazingira mapya......hasa ya modern game,sio siri Arsenal wao maandalizi ya next game wanatizama "Self Strength" za timu yao bila ku analys weakness za wapinzani na jinsi ya kuzitumia...hili ndilo linalomfelisha...
No change in Tactics toka Tumepigwa Anfield Kila tunaekutana nae anatumia style hiyo hiyo kutumaliza...hii ni down to a manager
Lakini nahisi wenger ataondoka msimu ukiisha...naona its better for him kuliko kuendelea kuji embarass kwa makocha vijana ambao ameanza kufundisha wao wakiwa bado wachezaji...
Akibakia maana yake abadilike..kitu ambacho ni kigumu kwake kubadilika...
Mdudu Mbu a.k.a Moskwito
Naona unawaita wenzako! Pole sn Mkuu
Timu ya Arsenal ina mapungufu sn, yani kuanzia bench la ufundi mpk wachezaji wenyewe! Km kufanya mabadiriko yanatakiwa yafanywe makubwa sn!
Mara nyingi hua najiuliza. Kwanini Wenger au ilikuaje Wenger wakati ule Wa kina Viera na Henry na Beckamp aliweza kujenga timu ambayo ilifanya Vzr?!! Na pia kuna wakati timu ilikua Ina vijana na wazoefu ilifanya vizuri mpk kuingia final ya UCL Pamoja Fc Barcelona? !!!!
Kwanini sasaiv Arsenal imekua ndembe ndembe? Hakuna timu timu ya ushindani msimu mzima! Wachezaji wanachoka na kushuka kiwango mapema sn! Na pia majeruhi ni wengi sn!
Kuna haja ya kutafakari sn!
Mzee Wenger ana optional mbili mbele yake:
Mosi kubadili mfumo wake wa kimchezo kumfanya awe na mipango A, Be, Che na De kiasi cha kwafanya wapinzani wake wasijue leo timu inachezaje.
Pili, asajili kulingana na nyakati hizi. kuhakikisha anakuwa na wachezaji wapambanaji na si ma pop stars!
Hapo tutafika nchi ya ahadi.
Arsene Wenger hajawahi kuchukua kombe na Arsenal alioitengeneza yote yeye mwenyewe. timu alioikuta kaiimarisha kidogo akapata makombe walivyoondoka wote aliowakuta mpaka leo hajashinda kikombe,labda EMIRATE CUP.

....naaam, kama mzee Fergie alivyosoma alama za nyakati.
Le Professeur is a great Manager lakini kwa sasa "Vijana" wana mbinu mbadala, ngumu kwake ku adapt tena....
Elite European teams zote sasa wanakwenda na tactics za "vijana" kama #Simeone , #Klopp , #Guardiola , #Martinez , #Rodgers , #Antonio Conte, etc....

Mbona Jose hujamtaja hapo? Au Ancelot Wa Madrid?
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
Wenger bado ni kocha mzuri wa kuinua vipaji tatizo linakuwa kuwa hataki kubadilisha mfumo....
Arsene yupo zaidi kuinua vipaji na kuuza
we jamaa acha uongo...jens,gilberto,cole,vieira,henry,lungberg,wiltold,reyes, pires, lauren, campbell, toure...wote hawa walinunuliwa na arsene mwenyewe...keown,adams,bergkamp,parlour, seaman na winterburn hawa aliwakuta
usiongee kitu usichojua au huna hukakika
usikurupuke soma post ya mtu kwa umakini uelewe....hii ni fact, arsene wenger hajawahi kushinda title england kwa timu aliyoitengeneza yeye yote....mataji yote aliyoshinda kulikuwa na wachezaji aliowakuta na ndio ilikuwa backbone walivyoondoka hao na vikombe vimekata.......sijasema hajanunua mchezaji....prove me wrong kama kashinda kombe na timu complete aliyoitengeneza iweke hapa.
Nitajie kikosi cha INVICIBLES...ndani yumo Dennis berkamp na Martin Keown na Ray parlour...Kati yao watatu Wawili kwa msimu wa 2003-2004 walikuwa merely Bench warmers ispokuwa Dennis...waliobakia woote ni wachezaji wake Arsene
Nani kakurupuka?
sasa unajijibu mwenyewe. hajawahi kushinda kombe na timu aliyoiandaa yeye complete unakubali? au unakataa?