Falamin Leo anatupoza machungu ya Swansea kwangu ndo man of the match
man of arsenal labda lakini man of the match kwa timu zote mbili ni silva, amepiga mpira sana
Hapo ushindi ni lazima...Koschienly asilete penalty tu..
Ok bhana ngija nishuku juu ya huu mti. Hongera all fans wa Gunners! ! Usiku mwema
Huyu mliberari G huwa anatuboa sana mkuu, mistakes zote ye anachekacheka tu..damn
Ahsanteni sana Arsenal pamoja na chelsea kwa hisani mliyotufanyia leo hii sisi liverpool.Nimeamini kweli kuwa udugu si kufanana bali ni kufaana.
Tunawaahidi kuwa kesho hatutowaangusha kwa kumpiga tottenham goli 3-2.
Together we can.Shukrani nyingi kwa Terry na Flamini.
"Nlikuwepo":bolt:
Ahsanteni sana Arsenal pamoja na chelsea kwa hisani mliyotufanyia leo hii sisi liverpool.Nimeamini kweli kuwa udugu si kufanana bali ni kufaana.
Tunawaahidi kuwa kesho hatutowaangusha kwa kumpiga tottenham goli 3-2.
Together we can.Shukrani nyingi kwa Terry na Flamini.
"Nlikuwepo":bolt:
Mkuu Sizinga nimeipenda point yako lakini minus mliberari katika maana ya neno mliberari kwa Watanzania wengi wanavyofahamu maana yake. Hata mimi ananiboa sana na hafai kabisa kuwa number one striker kwa timu yetu. Huyu alitakiwa awe ni second striker.Huyu mliberari G huwa anatuboa sana mkuu, mistakes zote ye anachekacheka tu..damn
Habari zenu ndugu zangu Gunners na pia wale ''voyeurs'' ambao hawawezi kukaa kwenye nyumba zao bila kuchungulia kwenye nyumba yetu.
Ndugu zangu Gunners, keep the faith and spirit. we are still in the mix. We are still up there.
Mwaka huu pia English premiership kama kawaida yake haina ''wasoma nyota'' za ushindi. Huu ndiyo uzuri wa Football league za England. Kila match inapewa dakika 90 kupata mshindi. Leo unatutundika goli sita nil, kesho unaenda kwenye timu inayopambana ili isishuke daraja inakudungua na kuchukua point zote tatu.
Point moja siyo mbaya ukilinganisha na hali halisi ya timu yetu kuhusiana na manpower.
The season isn't over by a long way and anything can happen.
Tukutane tena Goodison Park, Jumapili, 6 April. Majira ya saa 13:30 GMT.
Once a Gunner, Always a Gunner.
Mkuu Sizinga nimeipenda point yako lakini minus mliberari katika maana ya neno mliberari kwa Watanzania wengi wanavyofahamu maana yake. Hata mimi ananiboa sana na hafai kabisa kuwa number one striker kwa timu yetu. Huyu alitakiwa awe ni second striker.
Mr. G siyo mliberari kama ninavyofahamu kwa nje.