Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mannure nao washafungwa Birmingham 1- Man 0
 
ha ha ha, peasant bana,....haya chukua tano!
hahaha.ahsante Mh. Mosquito, ngoja nikajipongeze club kwa hizo pointi mbilimbili mlizodondosha ninyi na Manure.
 
Wana GUNNERS tuna vigongo vya mechi kuanzia January 27th ambazo ama zitaendelea kutufanya tuendelee kuwemo katika timu zinazowania ubingwa wa EPL 2010 au ndiyo ndoto zetu kupotea. Tutakuwa ugenini na Aston Villa Jumatano ya tarehe 27/01, tutakuwa nyumbani na MANU J'pili ya tarehe 31/01, J'pili ya 6/02 tutakuwa ugenini na Chelsea na J'tano ya 10/02 tutakuwa nyumbani na L'pool. Katika hizi wiki mbili za mechi hizi kama tukiweza kujikusanyia points kati ya nane na kuendelea basi kwa maoni yangu tutakuwa katika nafasi nzuri sana na pia kushinda zile mechi ambazo tunastahili kushinda kati ya sasa na mpaka kipindi hicho cha wiki mbili za vigongo vya mechi.
 
Vipi Drogba atakuwa amerudi?😉
 
Hao walioahirisha mechi zao hawajui zitakuja ku-accumulate kwenye ratiba zao!
 
We have today received confirmation from the Premier League that the following fixture will be played as under:
Arsenal v Bolton Wanderers
Premier League
Wednesday 20th January 2010
Kick Off: 7.45pm
 
naona wenger kamsajili sol campbell safi sana atatusaidia kama tukipata injury napia mechi nyingi tutaweza kurotate pale kati kwneye mechi ndogo hili varmelen na gallas wapate kupumzika kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…