Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,460
Majanga mengne wenger anajitakia we game kama hii ngum uko ugenin unaweka kiungo mkabaj mmoja kiungo mwenyewe sio mkata umeme asilia, kwaninin hakumweka atleast flamin? Ye hamwoni mwenzake yupo home lakini kaweka wakata umeme wawili matic na luiz
Hataree.....
Kweli mtoto halali na hela...
Huu ni udhalilishaji jamani....
Poleni Gunners wenzangu...
Chelsea Bingwa msimu huu.....Hili halina ubishi
.....ahhh, niliamini Arsene Wenger leo atakuja na jibu la Mourinho kwamba sio #SpecialistFailure ...
4 - nunge
Na ndio kwanza 1st half.
#MosKwito !
bingwa man six mkuu
chesii ataishia anfield
Asante sn Kwa kauli yako hii! Kila siku nimekua nasema hapa na watu km akina Sizinga wananiona Mimi chizi!
Tumembakiza Liverpool tu! Siku tukifika kwakwe lazima tummyonge!
Hatari sana huo muda 2napocheza big match ni majanga saana kwetu sijui kwanini?
mkuu mi Chelsea ila binafsi naiogopa sana Man cityChelsea Bingwa msimu huu.....Hili halina ubishi