pole mkuu maana nashindwa hata nikufariji vipi na ndio kwanza dk ya 30,leo mkikoswa saana mmepigwa tano yaani hapo mmeonewa huruma lol.! Ila komaeni mnaeza kupata hata moja.ila nahisi mnabidi mumwingize falmini aje awatulize akina matic pale kati.