Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wameshusha tempo ya game kidogo ingawa Yaya Sanogo bado anakuwa tishio kule mbele kutokana na mipira ya pasi kutoka kati kwa Cazorla na Wilshere.

Mi.nilipenda ile tempo ya mwanzo
 
Huyu Ozil ni kama hakutaka kucheza hii mechi dhidi ya Wajerumani wenzake.
 
Kama nilivoeleza hapo awali kwamba Bayern watakuwa wakuwatumia Philip Lahm na Arjen Robben kumvuta Kieran Gibbs lakini mpaka sasa dogo amesimama kidete kuwashughulikia wahanga hao wawili.

Tatizo linaweza kuwa Bayern kuendelea kupata kona nyingi kutoka upande wa Gibbs.

Dakika ya 20 inakwenda, Arsenal 0 Bayern Munich 0
 
Huyu Ozil bana mechi muhimu akipewa apige penat lazima apige kwa kipa kuna mechi ya uefa hv hv nayo nalimpa kipa...Ona sasa kawatoa wenzie kwenye mchezo..
 
Hawa Bayern wanapigika ila Arsenal watumie nafasi wazipatazo.

Mwaka jana wakati wa leo na baada ya dakika 25 Arsenal walikuwa nyuma kwa goli 2-0.

Leo tunamwamini Mathieu Flamini anawalinda mabeki wake ipasavo.
 
Kieran Gibbs anaumia na Nacho Monreal anaingia badala yake.

Dakika ya 30
 
So far so good ila ni lazima Arsenal washinde mechi hii ya nyumbani.
 
Back
Top Bottom